and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Huo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
Kama unataka ndoa idumu kwa mda lazima mwana umme uwe tayari kuipoteza mda wowote kama inabidi.....huo utayari wako utamfanye mwana mke awe makini na matendo yake, husibembeleze ndoa .mwanamke fimbo yake hua mdomo hivo jitaidi kumpuuza tu mkuu...
mi wife nilikua namtembezea sana kichapo ajili ya mdomo bt mama akanambia mdomo ni udhaifu wa wanawake wote hivo nijitaid kumpuuza mwenza/nitoke akianza kurefusha mdomo
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
Pole sana kwa yaliyokufikaKibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
ila kwel, mi huwa ananimbia ukiwa na stress wewe nami napata stress nilikuwa sielewMke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
"Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao."Huo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.
Kuna mwingine naye atatakiwa ajifanye na poyoyo ili mambo yaende.
Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao.
Ha ha ha jamaniMke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.