Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
all in all kuna wanaume hawapendi kukopa wala kupewa fedha na wake zao, heri akakope nje..... Inawezekana huyo akawa mmoja wao....
Thank you!
all in all kuna wanaume hawapendi kukopa wala kupewa fedha na wake zao, heri akakope nje..... Inawezekana huyo akawa mmoja wao....
Hakuna cha ajabu hapo. Wanaume tele wanafanya.
Mwanamke akiwa kila siku yeye ndo ana pesa mwanamme hana, kuna wengine ego zao haziwaruhusu kuendelea kupokea pesa kwa mwanamke kila wakati. Wanaona bora kukopa nje, ili kujenga heshima kwa wake zao
Nishashuhudia hilo.
{wanawake hao wanapokea mishahara zaidi ya mara 4 ya mishahara ya waume zao}
Mie ndio maana nakupendaga babu DC ,
Ya ninin unaapa "Nakupenda" afu unamwcha mwenza anakufa na madeni hadi anakopa?? Labda wewe akaunti ina pesa za kutosha?
Noi hatari sana, tena sana.
We...ujawahi kuona wanaume waliokaliwa wewe???? Huwezi mwambia nyumba ndogo matatizo yako ya kifedha...ma stress yote peleka kwa mkeo...hapo ni starehe tu. Akikooa wanamwaga pesa kulinda heshima.
Kuna mbaba tulikuwa tunafanya nae kazi...ilikuwa tukilipwa bonus tu utaona small house yake inatia timu...hapo tunajua amekuja kuzikomba. Chezea wanaume na nyumba ndogo zao.
Kwa kweli kukopa kwa ajili ya 'kuhonga' kwangu inamounguzia mtu marks hata ama ananihonga mie
Labda kama liwe tatizo la ugonjwa, nyumba ndogo ni starehe, hivi unaweza kopa pesa ya kwenda kunywea bia??
May be wengine tuliwekeza sana kwenye ndoa kiasi kwamba tunaonekana watu wa ajabu....!!
Pamoja na kwamba watu wanaweza kuwa na makubaliano yao, binafsi siwezi kumwelewa mwenzagu kama kaamuwa kunificha taarifa zake muhimu za pesa. Anazificha akazitumie wapi wakati tuko nyumba moja? Mie nikitoka kwenye ATM kitu cha kwanza ni kumrushia slip....aone kwamba dume lake limefulia au mambo ni mswano!
Mambo yake mengine (eg marafiki au ya familia yao) anaweza kuficha na hata nikijua sitamind!
Babu DC
Ni kweli inaweza kutokea
Hapo blue, nimebaki na Duh! Labda hapa inabidi nirudi kwenye swali labda la msingi kwa wanmme
Wanajisikiaje wanapozidiwa kipato na wake zao?
all in all kuna wanaume hawapendi kukopa wala kupewa fedha na wake zao, heri akakope nje..... Inawezekana huyo akawa mmoja wao....
Kwa hali ya kawaida, huna pesa ukakope jamaa yako wakati mkeo kakwambia akaunti yake ina pesa??
Hapo ndo kwenye kiini cha hoja.
Hivi mwanamme akiwa ametokewa na dharura keshamkopa mkewe mara tatu kwenye mwezi huo huo mmoja, mara ya nne akiona bora akope nje (kwa tunavyowajua wanaume wengi walivyo), tutashangaa kweli?
kongosho,kwanza asante kwa ma-like kibao uliyonigongea!
well,nifafanue...kuficha au kudanganya ni pale unapoulizwa unakana,au unatamka mwenyewe kinyume na hali halisi,kama mke wangu katengeneza pesa ikaweka ktk acc yake na hajaniambia HAPO HAJAFICHA WALA HAJANIDANGANYA mpaka pale nikimuuliza aseme hana wakati anayo!
kwa case ya thread hii hatujui kama wanafichana au wameambiana,tungejua either of the two tungeweza ku-judge vema
ktk ndoa yangu,bahati nzuri mimi na mke wangu ni marafiki wakubwa...she is my best friend,ninashea naye mambo mengi sana so huwa yeye anakuwa wa kwanza kujua nina tatizo gani kabla ya mimi mwenyewe kujua nina tatizo hilo!!!!!(sounds strange?)...hivyo matatizo yetu tunatatua wenyewe pamoja kwa umoja.
Hivi kama mwanamke anamzidi mume mshahara labda kama mara 4
Familia itaishi maisha ya aina gani?
Maisha ya kiwango cha mshahara wa mme au maisha ya kiwango cha mshahara wa mke?
Hapa itasaidia kukadiria/kuona uwezekani wa mme kukopa mke kwa mwezi ukoje
Ha ha ha leo naona umerudi na ID yako....Back to the topic,,,,, inauma ingawa mambo kama hayo yapo, nimeshakutana na watu wa aina hiikwa hii thread wanaume wengi kwenye ndoa huwa nawaona maboya tu ...mungu nisamehe huyu ni wa tano nasikia hii issue
Hivi kama mwanamke anamzidi mume mshahara labda kama mara 4
Familia itaishi maisha ya aina gani?
Maisha ya kiwango cha mshahara wa mme au maisha ya kiwango cha mshahara wa mke?
Hapa itasaidia kukadiria/kuona uwezekani wa mme kukopa mke kwa mwezi ukoje
I stand to be corrected ndugu Mkirua,
Ila kwa wanandoa kutoelezana vizuri au kufichana taarifa za kifedha ni jambo la hatari!!
Babu DC!!
Ndio maana nikasema unaweza usiolewe kwa kuwa unangoja walio loaded; wakati hawana mpango na wewe. Lol. Nilishawahi fanya kazi benki pia...ndio maana nazijua abc....
kwa hii thread wanaume wengi kwenye ndoa huwa nawaona maboya tu ...mungu nisamehe huyu ni wa tano nasikia hii issue