Nina urafiki sana na mdada mmoja ambaye ameolewa, mdada huyu tunafanya naye benki moja hivi. mume wake tuna urafiki pia lakini sio kihivo kama mke wake, nadhani ni kwasababu tunafanya naye ofisi moja. Wiki iliyo pita shemeji alinikopa laki! nikaahidi kumpatia jioni, kwakuwa mke wake yupo maternity live, naye kwa bahati alinipigia simu akiniomba nimuangalizie balance kwenye account yake, nilishikwa na butwaa kuona salio la ukweli. Nikajua hapa kuna tatizo.
Nilimkopesha shemeji laki moja akaniahidi atanirudishia baada ya wiki. Sikuishia hapo, nili mpigia mkewake simu nikimuazima laki moja nimrudishie baada ya wiki, bila tatizo, akanipatia.
They are very happy family!!!!!!!
Hakuna anaekataa kuwa ushirikiano ni muhimu.
Ila hatupaswi kuhukumu watu tusiojua makubaliano yao yakoje kwa kusikia tu umbea wa mtu mitaani
Una access na account ya mke wa mtu?? Hapo najiuliza... Kwenye RED nadhani ulikusudia kuandika LEAVE...
I stand to be corrected ndugu Mkirua,
Ila kwa wanandoa kutoelezana vizuri au kufichana taarifa za kifedha ni jambo la hatari!!
Babu DC!!
thats a million dollars question
Kwa hali ya kawaida, huna pesa ukakope jamaa yako wakati mkeo kakwambia akaunti yake ina pesa??
Wafanyakazi wa Benki wana access na account ya mteja yeyote. Na ukiwa na moyo wa tamaa kama ni mwanamke unaweza usiolewe. Maana unajua nani yuko loaded nani yuko kwenye red.
Ila kama wote ni ma banker wa same bank; ni obvious na mume anajua balance ya account ya mkewe??????
Dark City
Watu tunashindwa kufikiria scenarios zote zinazowezekana hapo, maana naamini si hizo mbili tu
Out of thin air nakupa ya tatu
Pesa kwenye account ya mke ni za mtoto hasa wakati wa dharura kama ya ugonjwa. Mume na Mke wanajua hilo.
Mume ana shida na pesa laki moja hakupendelea kujikopa (akianza kujikopa, hatakuwa na kikomo, na hataweza kurudisha, na ikitokea ugonjwa wa ghafla wa mtoto itakuwa shida), ameamua kukopa nje
Mke ametaka kujua jumla ya pesa kwenye account baada ya kuingiziwa mshahara wake.
Mke hawezi kukataa kumpa mkopo mtoa mada kwa sababu tayari (mtoa mada) anajua kuna pesa nyingi, na (mke) hataki kumpa maelezo marefu rafiki yake (Huyo mwanamke ndio amekiuka makubaliano na mume wake)
Hiyo ni scenario ya tatu, naamini zipo tele na tele na tele. Watu tunatofautiana, na wanavyodeal na mambo yao kama familia pia ni tofauti.
Inawezekana analea nyumba ndogo...na mke hawezi mpa pesa bila kujua ni ya nini. Lol.
Kwa hali ya kawaida, huna pesa ukakope jamaa yako wakati mkeo kakwambia akaunti yake ina pesa??
Mimi nimekusoma inamaana BIBIE YUKO LOADED kwenye ac wkt MUMEWE YUPO KWENYE OVERDRAFT!!!! LOLSET!!! Huwezi jua ukute MWANAUME ANAHONGA SANA, SASA HIYO LAKI YA NYUMBA NDOGO, AKIMWAMBIA MKEWE AMPE ITABIDI ASEME YA NINI!!! Au bidada HELA ZA NDUGU YAKE!!!! Mi nina NDUGU yangu KAOLEWA ILA AKIPATA HELA HAZINA MAELEZO ANAWEKA KWENYE ACC YANGU anakuwa anachukua kidogokidogo NA MIMI PARTNER IN CRIME NARUHUSIWA KUTUMIA KIDOGO.SASA HAPO UKUTE NIMEMUOMBA SHEMEJI YENU HALA AKAFANYA UFUKUNUKU SI ATAPATA WRONG CONCEPT KUWA NIPO LOADED???!!! MJINI MIPANGO SIO PESA!!!!LOLESH!!!!!!
Ha ha ha ha, ujue mie ni banker? Nilikuwa sijapata wazo la kukagua nani yuko loaded na nani yuko red.
Hii project naianza mwaka ujao rasmi, ila haina guarantee kama hao loaded watakubali
Kuna wengine wana nyumba za ulithi mjini hapa kodi zinaingia kimya kimya kimya,,, kuna mdada hapa job daily anamkopesha mume wake indirect anajifanya ngoja nimkope kaka kumbe za kwake mwenyewe,,,
Wanawake wana vituko sana
Ina wezekana
Hivi mwanamme anaweza kopa hela ya kwenda honga yumba ndogo?
Haya ni kati ya yasiyokuhusu, maana huwezi kujua makubaliano yao yakoje
Kweli Gai,
Ila hii scenario ni ngumu kwa baadhi yetu...Yaani niache pesa zangu au za wife niende kukopa kwa jirani...
Halafu hapa dume linakopa kwa mtu ambaye yuko karibu na mke....May be linatafuta njia ya kum-spy!!