Huo ni upande mmoja wa shilingi vipi upande wa pili?[/QUOTE
Toa na maelezo ya mama....ili tujue ndoa ndoano kwelikweli.
ungesikia na upande wa pili wa story ndio ungekuwa na haki ya kujudge, vinginevyo ni ubatili tu...Mijanamke mingi ya siku hizi haioleki, na ukijilazimisha kuoa matokeo yake ndio haya.
Wanawake wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika.........
Mwanamke kuleta kibesi kwangu eti naye ana EGO, pambaf .
jamani mi huyu jamaa ni rafiki yangu na huyo mkewe tumesoma nae ni ana kiburi balaa hamuwezi amini hapatani hata na mama ake mzazi, bt jamaa alimpenda akamstiri sana hata kama kuna tatizo ndipo mtu avunje taa hapa mtaani kila mtu anachukizwa na tabia ya huyo mwanamke,pia anajisikia sana mpaka kuna siku alimwandikia mmewe sms akimwambia naye anajiona mwanaume,mara --------,mpuuzi jamaa sku ananionesha sms hzo alikuwa hana amani maana hajui tatizo ni nini?
mmh huyo jamaa ni ww mwenyewe au mbona wamsemea hivyo? achana na mapenzi ya wawili ndugu, wakipatana utajaumbuka burejamani mi huyu jamaa ni rafiki yangu na huyo mkewe tumesoma nae ni ana kiburi balaa hamuwezi amini hapatani hata na mama ake mzazi, bt jamaa alimpenda akamstiri sana hata kama kuna tatizo ndipo mtu avunje taa hapa mtaani kila mtu anachukizwa na tabia ya huyo mwanamke,pia anajisikia sana mpaka kuna siku alimwandikia mmewe sms akimwambia naye anajiona mwanaume,mara --------,mpuuzi jamaa sku ananionesha sms hzo alikuwa hana amani maana hajui tatizo ni nini?
wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune mazao yako yatakuwa yameshakomaa.......
mmh huyo jamaa ni ww mwenyewe au mbona wamsemea hivyo? achana na mapenzi ya wawili ndugu, wakipatana utajaumbuka bure
hizi ndoa hizi ndio maana wengine tunachelewa kuingia humo, hakutabiriki
Huo ni upande mmoja wa shilingi vipi upande wa pili?
aah sijui bana, si unajua tumeletewa story ya upande mmoja, mtoa mada anatupa impression ya kwamba mdada ndio monster, ni ngumu ku judge coz mtoa mada mwenyewe kashachagua upande.hivi hawa watakuwa wanapendana kweli???
kweli kabisa, kuna mengi nyuma ya pazia ambayo labda hata huyu rafiki mtu hayajui.hiyo ya kuwasha taa na kuzima ni kama kisingizio tu cha huyo mama kuondoka.inaonyesha kuna mengi zaidi ya hayo,huwezi mtu kuondoka kwako kisa cha taa tu.mmmh mambo ya ndoa hayo kila mtu na principle zake.wenyewe wanajuana