Ndoa itafunjika maomba msaada kwa hili!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa itafunjika maomba msaada kwa hili!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Pindima, Jul 19, 2012.

 1. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Utafanya nin kama umeitwa
  kusawazisha
  mgogoro huu? Siku ya ijumaa
  john aliamka mapema
  kuliko kawaida na kujiandaa
  kwenda
  kazini. Siku hiyo alikuwa
  anahitajika
  kazini mapema kuliko kawaida.
  Ingawa mke wake alikuwa
  akifanya
  kazi katika ofisi iliyo umbali
  mfupi tu kutoka ofisi kwake
  hakuona sababu
  ya kumsubili ili waondoke wote.
  Katika harakati za kuwahi, bila
  kujua
  John akanyanyua simu ya mkononi
  ya
  mke wake na kuitia mfukoni.
  Hakuweza kuitambua mara moja
  kwa
  sababu walikuwa na 'handset'
  zinazofanana. Baada ya kuondoka
  ndipo mke wake alipogundua
  kwamba
  mumewe ameondoka na simu
  yake.
  Hata hivyo hakuwa na la
  kufanya;
  akachukua simu ya mumewe na
  kwenda nayo kazini kwake ili
  endapo
  mumewe atampitia ampe simu
  hiyo. Akiwa kazini ndipo John
  alipogundua
  kuwa ameondoka na simu ya
  mkewe.
  Wasiwasi ukaanza kumuingia
  maana
  alijua mkewe anaweza kusoma
  meseji
  za mapenzi zinazotumwa na
  wapenzi
  wake wa nje (nyumba ndogo).
  Hata hivyo hakuwa na uwezo wa
  kurudi
  nyumbani. Mke wake pia
  alikuwana
  hofu kuu, maana nae alikuwa na
  mabuzi kedekede (mabwana)
  aliokuwa akiwachuna. Mambo
  yalianza wakati John
  alipopokea sms iliyokuwa
  imetumwa
  kwa mkewe kutoka kwa mtu
  ambae
  namba yake ilihifadhiwa kama
  Peter -
  Tax. sms hiyo ilisomeka "Hi
  sweetie, za
  asubuhi? 4me niko ok, just mad!
  mapenzi yangu kwako
  yananiua...hasa
  baada ya jana kunipa tigo...hapa
  moyo
  wangu unaruka kichurachura...
  Mara moja John akakumbuka
  kwamba
  siku iliyopita mkewe alichelewa
  sana
  kurudi, na alipofika alidai kichwa
  kinamuuma sana na alipitia
  zahanati
  (dispensary) kupima maralia. Saa
  moja baadae ikaingia sms
  nyingine
  kutoka kwa mtu mwingine ambae
  namba yake ilikuwa imehifadhiwa
  kama Mary -Saloon. sms hiyo
  ilisomeka
  "Hi baby mie niko poa, but
  sijisikii vizuri
  pasipo mkono wako kupapasa
  kifua changu...wewe ndie una
  control every
  part ya moyo wangu. See u at
  lunch..." Johna alikuwa karibu
  apasuke kwa
  hasira. Kazi zilikuwa hazifanyiki
  ofisini,
  na tayari akawa anafikiria
  kumuomba
  bosi wake ruhusa ili amfuate
  mkewe
  akamfundishe a
  abu. Kabla hajafanya hivyo
  ikaingia sms nyingine kutoka kwa
  mwenye
  namba iliyohifadhiwa kama
  Nyanso -
  duka la vipodozi. Sms hiyo
  ilisomeka
  "Ma luv I wish ungekuwa big G
  ningekuwa nakutafuna kila
  wakati,
  ninapokuwa nawe najiona kama
  malaika...na hasa ninapo kumbuka
  unavyokula soseji...Have a good
  day
  ma luv.
  Mpaka hapo John hakuweza
  kujizuia,
  Jasho lilikuwa likumtoka kwa wingi
  wakati kila mtu ofisini alikuwa
  amevaa koti kutokana na baridi
  ya kiyoyozi.
  Wafanyakazi wenzie walikaribia
  kuita
  ambulance kwa kudhani jamaa
  amepata shinikizo la damu.
  Mkewe nae hali yake ilikuwa
  taabani.
  Alikuwa amekwisha pokea sms
  tatu
  kutoka kwa wanawake tofauti. Ya
  kwanza ilitoka kwa mtu ambae
  namba
  yake ilihifadhiwa kwa jina la
  'OCD -
  Oysterbay Police'. Sms hiyo
  iliandikwa hivi "Hi
  darling..unaendeleaje?me niko
  sawa pamoja na mwanao hapa.
  Anakupenda sana na kila wakati
  anakutajataja. Itabidi uhamie
  hapa
  tukae pamoja...see ya baadae".
  Jane alichanganyikiwa kupata
  habari
  kwamba mumewe ana mtoto
  mwingine nje ya ndoa." Ndio
  maana
  kila siku hana fedha...." alifikiria.
  Lakini
  kabla hajajua afanye nini ikaingia
  sms
  nyingine kutoka kwa Ramadhan -
  Kinyozi. Sms hiyo ilisomeka "
  siwezi
  kulala usingizi bila wewe...Kila
  ninapojitupa kitandani ndani ya
  jumba
  hili ulilo ninunulia najisikia kulia
  machozi ya furaha. Rav 4
  uliyoninunulia kila msichana kazini
  ananiuliza nimeinunua wapi
  lol...Thanks darl, g'day". Sms ya
  mwisho ilitoka kwa Jimmy -
  muosha magari. Iliandikwa "sasa
  honey? Ope uko poa, mi niko fit
  hapa
  hm, lakini nimekumiss sana. But
  honey
  kuna dola tunadaiwa za project
  like
  40k nitacome unishow vile
  tutalipa. Nice day, love you kwa
  sana..."
  Jane akapata jibu kwa nini siku
  zote
  mumewe hana pesa kabisa licha
  ya
  kuwa na kazi ya maana sana na
  miradi
  kibao. Jioni walipokutana
  nyumbani
  hakuna aliyekuwa
  akizungumza...Kila mtu alikuwa
  kanuna huku
  akimuangalia mwenzake kwa
  mashaka.
  Hebu niambieni, hapo mtu
  unaanzaje
  kusuluhisha
   
 2. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  is this true story au unazingua tu.
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mjomba hapa hakuna cha kusuruhisha, ukijifanya kusuruhisha unawezageuziwa kibao wewe, halafu kwa hasira wote wakakuchangia, mimi hapo nikishagundua sipiti au nahama mtaa
   
 4. Magongo

  Magongo Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasamehane 2 maana ngoma droo, na warudie kiapo cha utii.
   
 5. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tatizo kubwa kwa mshkaji kuwa mkewe katoa tigo!!
   
 6. Magongo

  Magongo Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmhhh, kwa hilo la tiGo mwanamke ana kesi ya kujibu mkuu.
   
 7. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kesi ya kweli ndugu!!
   
 8. a

  amiride JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa hili nadhani mume apewe na yeye tigo na kama alikuwa hajanyonywa sausage basi aombe na hilo
   
Loading...