Askarimaji
JF-Expert Member
- Jan 28, 2016
- 275
- 689
NDOA INAPANGWA NA MWANAMKE SIO MWANAUME
Kauli hii inaweza kukushangaza kidogo ila ngoja nikufafanulie,
Mwanamke ndiye anaepanga ndoa na sio mwanaume, hii inamaana gani!!!
Maana yake ni kwamba wewe mwanamke kwa tabia yako njema, uvumilivu wako, huruma yako, heshima yako, utiifu wako kwa mwanaume unaempenda na unatamani awe mumeo siku moja basi elewa uyu mwanaume lazima akuoe endapo utamuonyesha vitu hivi vichache,
Mwanamke hautakiwi kumwambia mwanaume nioe, unatakiwa kumuonyesha huruma, upendo, utiiifu, heshima na uvumilivu, vitu hivi vichache vitamfanya afikilie kukuoa na mwishowe atakuoa tu.
Hivyo basi ndoa anapanga mwanamke na si mwanaume, mwanaume anaweza akamuoa mwanamke ambae hakumtarajia na hakumfikilia ila amemuoa ghafla tu baada ya kuonyeshwa huruma, upendo, utiifu, heshima na uvumilivu.