Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,435
shida ya ndoa za utotoni hizi utoto mwingi
Jamaa kapigwa tena banBaasi mna visasa nyie kila siku unakula umeme!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
What they say:What they say:
Marriage is
What they don't say:
Before marriage
During wedding
Few months after marriage
One year after marriage
Two years later
Five years![]()

What they say:
Marriage is
What they don't say:
Before marriage
During wedding
Few months after marriage
One year after marriage
Two years later
Five years![]()

Simu simu simu!
Wewe huna simu ya siri? Mumeo ana rukhsa ya kushika simu yako?
Siku hizi kwanza mnafunga ndoa za nini?
Unakuta wanandoa eti ni marufuku kila mmoja kushika simu ya mwenzake.
A dead giveaway.
Vumilianeni tu sasa. Ndoa mliitaka wenyewe…
Mkishindwa kuvumiliana, achaneni.
Kuachana siyo mwisho wa dunia.
Na hata ingekuwa mwisho wa dunia, ni bora tu kuachana kuliko kuendelea kudanganyana kama mko mataahira.

Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!
Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.
Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji.
Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.

Jf inafundisha umalayaImagineMmh wewe ndio kivuruge. Mwisho wa siku wenzio wakianza kupata magonjwa nyemelezi kinga zipo chini wewe uko zako pembeni unawacheka. Kucheat ndan ya ndoa ya miezi 6 haimpi credibility mwanaume aliye serious na ndoa, NEVER.
Kwanini uoe na huwezi tulia na mwanamke mmoja. Kuna bahat mbaya sawa lakini ndoa bado changa una wanawake watatu nje tayari![]()

Mtata SanaJamaa kapigwa tena ban

Hata baba zetu wa miaka 50 wanafanya hayaa.. Sema ukweli mama zetu wako matures enough kuignore na kufocus kwenye mambo ya maana..!!shida ya ndoa za utotoni hizi utoto mwingi
Acha kudanganya na jisemee wee km wee, wapo wanaume wasio cheat, wametulia na ndoa zao, sema wengi wao ila sio wote au sio kila mwanaume. KhaaaaahBora Shetani unaemjua kuliko Malaika usiemfahamu...!!
Hakuna mwanaume asieachat ila wapo wachache ambao wanashindwa kuheshimu ndoa zao na kufanya waziwazi kama wako Anafanya kwa siri bhasi Hongera na jitahdi usiwe mfukunyuku maana utaumia tu dada angu.
Tulia na uja uzito wako mwanao akizaliwa mlelee bhasi huyo mwanaume pima nae Ngoma kama hana msamehe muanze upyaaa sababu Ukisema umuache ni sawa na kulikimbia jua songea ukaenda Dar.![]()
Wewe sema usemavyo ila huo ndio Ukweli mchungu kumeza... Toka Enzi za adam na hawa mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja kawaida sana!!Acha kudanganya na jisemee wee km wee, wapo wanaume wasio cheat, wametulia na ndoa zao, sema wengi wao ila sio wote au sio kila mwanaume. Khaaaaah
Hakna aliyekataa ila usiseme mwanaume wote, sema wengi wao utaeleweka.Wewe sema usemavyo ila huo ndio Ukweli mchungu kumeza... Toka Enzi za adam na hawa mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja kawaida sana!!
Haya bhasi asilimia 99...!! Moja tunawaachia wale wenzetu wasiojiwezq wapo kitandani..Hakna aliyekataa ila usiseme mwanaume wote, sema wengi wao utaeleweka.
Sio Kuomba anaenda kutafunwa!Wanawake hapo ndo mnapofeli, et unataman umshirikshe mchungaji wenu??? Huna wazaz, ndugu na jamaa?? Kuwa makin na hao wachungaj watakuomba buree!! Nao binadamu
Nimechoka balaaJamaa kapigwa tena ban

yani extrovert nuksi kila Siku banKuna mwanamke anaye cheat bila kumdharau mumewe ?Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!
Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.
Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji.
Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.
Ni huyo hapo.Ni bilionea wa Russia anamiliki PJ Estates kadhaa,Bank na makampuni makubwa sehemu mbalimbali dunianiHebu weka picha tuone kwanza anastahili kuchepuka au hastahili tusije kuanza kumsema mtu bure tukapata dhambi.