Ndoa inaelekea kunishinda




Ni matumaini mnaendelea vizuri na Mama Mkwe wako??
 
 
Kwani nn lengo la kuolewa hiyo vunga ni for better for worse, kwa shida na raha, maradhi mapepo kila kitu uliapa Bibiee pole Ila komaa huo ndo mzigo wako mambo yampito sasa we sikiliza makanyaboya kama ndo walikuwa ma ww wakati wa kifo cha cokroach pambanaaa ohooo kuleni hata mawe pambana akili ya mwanamke na nia njema na kusudi ndipo hujulikana kwani ulidhani unaenda likizo?! Hapanaa hapanaa pambana
 
Aisee huu uzi wake inaonesha dada alikua desperate DESPERATE na ndoa kiasi kwamba alikua anataka hata abebe mimba ya kufosi ndoa kisa aliona mwanaume anaweza kubadilika last stage. Kama ambavyo hakuelewa ushauri aliopewa kule hata huku hatoelewa ni yeye mwenyewe afanye maamuzi tu.
 
am more than serious, hebu nionesheni huyo mwanaume asiechepuka nami nimkimbilie sahivi kabla jua halijazama, dear you do me I do you...😃 maisha yanasonga
Naunga mkonyo hoja, nikipata ushahidi ananicheat, natafuta Kwa kupunguza maumivu Tu....Ila simuachi, siachiki.
Usaliti ni Kama mvua Tu kila sehemu ipo inanyesha.
 
Naunga mkonyo hoja, nikipata ushahidi ananicheat, natafuta Kwa kupunguza maumivu Tu....Ila simuachi, siachiki.
Usaliti ni Kama mvua Tu kila sehemu ipo inanyesha.
hapo chacha kwamba unamuacha mtu kisa kucheat??? aaah utani huo....labda hiyo cheating iambatane na mambo mengine kama vipigo, na matabia mengine mabaya ila cheating plain??? ooohhh tutazikana siachi mtoto wa mtu
 
hapo chacha kwamba unamuacha mtu kisa kucheat??? aaah utani huo....labda hiyo cheating iambatane na mambo mengine kama vipigo, na matabia mengine mabaya ila cheating plain??? ooohhh tutazikana siachi mtoto wa mtu
Labda acheat afu asinipe hela
 

Attachments

  • 273186662_125283936679644_2405847359289895474_n (1).mp4
    2.8 MB
Nakuona Nakuona ktk Ubora wako Mkongwe..
 
SASA KAMA UTAMUACHA MWANAUME UYO UTAENDA KWA NANI? NA MAANISHA UTAENDA KWA MWANAUME GANI AMBAE HATO CHEPUKA? SISI WANAUME IYO NDIO ASILI YETU.... HAKUNA MWANAUME ANAERIDHIKA NA MWANAMKE MMOJA TU HAKUNA,
TONATOFAUTIANA AKILI TU NA UMAKINI KATIKA UCHEPUKAJI, SISI WANAUME WENGINE TOFAUTI YETU TUNACHEPUKA KWA KUTUMIA AKILI NYINGI SANA, YAANI HATUKAMATWI KIZEMBE IVYO KWA UMAKINI TULIOKUWA NAO.... NA WIFE ANATAMBA ATA MBELE ZA WATU KUWA HAJAWAHI KUWA NA MWANAUME MUAMINIFU KAMA MIMI.
ATAKUJA KUSTUKA SIKU WANALETWA WATOTO WAKIWA WAMESHAMALIZA CHUO KIKUU.

USIACHANE NA MUMEO, WEWE NDIO MWANAMKE BORA KWAKE NDIO MAANA AKAKUOA NA KUKUWEKA NDANI, HAO WENGINE NI MALAYA TU.
KAA NA MUMEO LEA MIMBA YAKO MZALIE MTOTO UYO NA WATOTO WENGINE MUNGU AKIKUJAALIA.
 
Sasa akishindwa kuvumilia afanyeje mkuu😅😅😅 we unadhani wake za watu wanaoliwa maofisini na junior officers wanapenda kuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…