miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
MhhHebu weka picha tuone kwanza anastahili kuchepuka au hastahili tusije kuanza kumsema mtu bure tukapata dhambi.
Bora umefunguliwa. Nlipata shida namna ya kukufikia.Hebu weka picha tuone kwanza anastahili kuchepuka au hastahili tusije kuanza kumsema mtu bure tukapata dhambi.
Na Mimi nawaza kitu Kama hicho niwe tu bize na maisha yangu na mwanangu aliye tumboni nafikiria kwanzia Leo nisishike simu yake Wala nisimfatilie akiamua kuchepuka achepuke. Maana nshaona nikijua naumia alafu ameshanikatisha tamaa coz ndokwanza tuna miezi 6 kwenye ndoa alafu namfuma na wanawake 3Ushauri wangu kwako!
Kwasasa muweke pembeni kimawazo na kihisia usije ukakosa vyote, hudumia mimba yako ujifungue salama .. Kumbuka huyo ndio atakuwa faraja yako
Simu Mimi ndonilimlazimisha ache nilimwambia kwakuwa ushamwambia una mke na umeomba msamaha tuanze upya simu niachie hakuna tena kumiliki simu ya Siri na nilifanya makusudi ili nijue Kama Kuna wengine.Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.[emoji848][emoji15]
Nije nipigwe ban..😂Bora umefunguliwa. Nlipata shida namna ya kukufikia.
Karibu PM!!
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Bora upigwe ban huku kuliko kule ambapo hakukuwa na response!Nije nipigwe ban..😂