- Thread starter
- #61
Lol,ukistaajabu ya Musa_____Afadhali ya huyo ana watatu, ungeolewa na mimi,sijui ungeomba ushauri gani, nina michepuko isiyopungua 60!!!
Lol,ukistaajabu ya Musa_____Afadhali ya huyo ana watatu, ungeolewa na mimi,sijui ungeomba ushauri gani, nina michepuko isiyopungua 60!!!
Kweli kabisa ukioa mke wa mtu lazima utasalitiwa tuu. Nilioa mke wa watu si kusalitiwa huko.Ndoa nyingi zinakuwa na changamoto kwa kuwa zinafungwa kwa nguvu na sababu za kimaumbile na ki matamanio na sio ki mapenzi.........
Nguzo ya kwanza ya ndoa imara ni UPENDO.....
Kwenye upendo wa kweli kuna kuvumiliana
Kwenye upendo wa kweli kuna kujaliana
Kwenye upendo wa kweli kuna kutahaminiana
Kwenye upendo wa kweli kuna kuheshimiana.....
Mwanamume mwenye upendo wa kweli kwa mke wake Furaha ya mke wake ni jambo la msingi na la muhimu kwake.....hivyo basi huyatambua majukumu yake na kuyatekeleza bila shuruti......
Vivo hivyo kwa mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwa mumewe......
Nyumba yao hujala na furaha muda wote kwani kila mmoja anapenda kumuona mwenzake akifurahi.......
Ndoa zilizofungwa kwa matamanio Daima haziishi migogoro na maugomvi.....kwani uhalisia unawatoa unawatoa nje ya matamanio na kujua kuwa hukufanya maamuzi sahihi.......
Kabla hujafanya maamuzi yoyote yanayohusu Ndoa jaribu kusema na moyo wako ukiwa peke yako......Daima moyo haudanyanyi isipokuwa matamanio yanatuzidi nguvu na kuupuuza moyo......
Ni vigumu kuwatenganisha wapendanao kwani Daima mioyo yao huishi pamoja
Ndo hapo sasaMda wa kumfatilia anatoa wap?
Hili la magonjwa ndo balaaYeye anatakiwa asimame kwa miguu yake yeye ndo anae umia moyo akiona hawezi aondoke ila akiona bado anayamudu aendelee tuu kuvumilia ila akumbuke kuna magonjwa
AsantePole
Mhhh,kwamba akiachana na mume wake,akiolewa ataendeleza nae?Kweli kabisa ukioa mke wa mtu lazima utasalitiwa tuu. Nilioa mke wa watu si kusalitiwa huko.
Mungu akusaidie uendelee na huo msimamoPole sana Dada yangu kwa kuishi na MTU wa kuumiza moyo wako, binafsi nimeoa sipendi michepuko kwani najua maumivu yake na sijui nikigundua mke wangu anatabia hiyo, but mungu aturehemu
Hapana kuna mwanamke anamtongoza akiwa tayari kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda kwa dhati. Lakini mwanaume huyo anaweza kuwa kashaoa tayari hivyo basi mwanamke anakubali kufunga ndoa hali anampenda zaidi yule mwanaume ambaye tayari yupo kwenye ndoa au kwasababu fulani hawezi kumwoa.Mhhh,kwamba akiachana na mume wake,akiolewa ataendeleza nae?
Nimekuelewa sanaaaHapana kuna mwanamke anamtongoza akiwa tayari kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda kwa dhati. Lakini mwanaume huyo anaweza kuwa kashaoa tayari hivyo basi mwanamke anakubali kufunga ndoa hali anampenda zaidi yule mwanaume ambaye tayari yupo kwenye ndoa au kwasababu fulani hawezi kumwoa.
Nashukuru kichwa chako kinfanya kazi wengine wagumu kuelewa. Mpaka mtukio yatokee ndo wanaelewa.Nimekuelewa sanaaa
Waambie january hii wawaze ada za watoto kwanza, wataendelea kufumaniana march huko.

Ishu mtu unahitaji heshima lakin wengine husahau hadi familia kabisaaa kumuona kimada ni wa maana kuliko mkewe wa ndoa.Nikwel,hakuna dunian mwanaume asiye cheat,one way or another
Anaekupiga ngumi ya sikio na wewe mpige ya jicho....akikuuliza unaonaje na wewe mjibu unajisikijeKusalitiwa kunaumiza kuliko kitu chochote. Achague kitu kimoja kati ya hivi
1.talaka
2.kumvumilia
3.kumrudia Mungu wake (awekeze muda wake katika ibada badala ya kumuwaza huyo pasua kichwa)
4.kumpuuza/kutomfatilia kabisa katika hilo
5.yeye pia achepuke
Akishindwa yote hayo,ajiandae kufa kwa presha maana wasiwasi wa mapenzi unaua.
Usiongee ndugu mumeo kwa nn usichunguze kama mambo yanaenda ndivyosivyo ukae tu kimya kama ndondocha mmmhhhpunguza kuchunguza sana
Hili ndo bays zaidi,mtu anasahau kabisaaa kama ana familiaIshu mtu unahitaji heshima lakin wengine husahau hadi familia kabisaaa kumuona kimada ni wa maana kuliko mkewe wa ndoa.