Ndoa ina changamoto zisizoisha

Ndoa ina changamoto zisizoisha

Story ya ndugu yangu##
Nimeolewa na huyu mwanaume miaka 5 iliyopita,wakati wote huo sikugundua kama ananisaliti,nakumbuka ilikuwa mwezi wa pili 2017,mume wangu aliposafiri kuelekea kijijini kwao,alikaa huko kwa muda wa wiki tatu,baada ya kurejea nilibaini kama huko alipata mchepuko,nilimuuliza kwa wema,akakubali na akaomba msamaha,yakaisha,lakini baadae nikagundua tena ana mchepuko mwingine kazini kwake,nikamuuliza alibisha sana,nikasema Mungu yupo na atamuumbua,baada ya muda tena ndo nikayabaini mawasiliano yake na Huyo mwanamke anayefanya nae kazi,(pia huyo dada ni mke wa mtu)baada ya kumuuliza akakiri kosa,kinachoniumiza ni leo tena nimegundua bado anawasiliana na Huyo mwanamke,baada ya kumuuliza kanijia juu eti bora ndoa ivunjike,
please great thinkers nisaidieni ushauri kwa huyu ndugu yangu,kumbuka ana watoto 3,na ni mjamzito,pia huyu mwanamke ni mfanyakazi wa serikali ,mume pia ni mfanyakazi,

Wakiachana watoto itakuwaje?
Na wanafanya kazi sehemu moja,kisaikolojia athari zake ni zipi?kwa watoto na wenyewe wahusika
mwanaume kusaliti ni kawaida sema asikuoneshe kuna mapungufu unayo kama sio kitandan ni kelele unakelele sana
 
Story ya ndugu yangu##
Nimeolewa na huyu mwanaume miaka 5 iliyopita,wakati wote huo sikugundua kama ananisaliti,nakumbuka ilikuwa mwezi wa pili 2017,mume wangu aliposafiri kuelekea kijijini kwao,alikaa huko kwa muda wa wiki tatu,baada ya kurejea nilibaini kama huko alipata mchepuko,nilimuuliza kwa wema,akakubali na akaomba msamaha,yakaisha,lakini baadae nikagundua tena ana mchepuko mwingine kazini kwake,nikamuuliza alibisha sana,nikasema Mungu yupo na atamuumbua,baada ya muda tena ndo nikayabaini mawasiliano yake na Huyo mwanamke anayefanya nae kazi,(pia huyo dada ni mke wa mtu)baada ya kumuuliza akakiri kosa,kinachoniumiza ni leo tena nimegundua bado anawasiliana na Huyo mwanamke,baada ya kumuuliza kanijia juu eti bora ndoa ivunjike,
please great thinkers nisaidieni ushauri kwa huyu ndugu yangu,kumbuka ana watoto 3,na ni mjamzito,pia huyu mwanamke ni mfanyakazi wa serikali ,mume pia ni mfanyakazi,

Wakiachana watoto itakuwaje?
Na wanafanya kazi sehemu moja,kisaikolojia athari zake ni zipi?kwa watoto na wenyewe wahusika
Bora waachane wasipo achana watakufa wote watoto utatunza wewe?
 
Ukitaka uwe na ndoa ya amani acha kumfuatilia/kumchunguza mwenzio. We timiza wajibu wako mpende, muheshimu na jua kuwa hakuna mkamilifu basi mengine unamwachia Mungu.

Kucheat mwanaume ni kawaida na ukimfuatilia sana anakufanyia makusudi lkn ukimpotezea trust me atajishtukia. Pole
 
Kusalitiwa kunaumiza kuliko kitu chochote. Achague kitu kimoja kati ya hivi
1.talaka
2.kumvumilia
3.kumrudia Mungu wake (awekeze muda wake katika ibada badala ya kumuwaza huyo pasua kichwa)
4.kumpuuza/kutomfatilia kabisa katika hilo
5.yeye pia achepuke
Akishindwa yote hayo,ajiandae kufa kwa presha maana wasiwasi wa mapenzi unaua.
Asante kwa ushauri mkuu
 
Shukrani mkuu
 
View attachment 665009
Story ya ndugu yangu##
Nimeolewa na huyu mwanaume miaka 5 iliyopita,wakati wote huo sikugundua kama ananisaliti,nakumbuka ilikuwa mwezi wa pili 2017,mume wangu aliposafiri kuelekea kijijini kwao,alikaa huko kwa muda wa wiki tatu,baada ya kurejea nilibaini kama huko alipata mchepuko,nilimuuliza kwa wema,akakubali na akaomba msamaha,yakaisha,lakini baadae nikagundua tena ana mchepuko mwingine kazini kwake,nikamuuliza alibisha sana,nikasema Mungu yupo na atamuumbua,baada ya muda tena ndo nikayabaini mawasiliano yake na Huyo mwanamke anayefanya nae kazi,(pia huyo dada ni mke wa mtu)baada ya kumuuliza akakiri kosa,kinachoniumiza ni leo tena nimegundua bado anawasiliana na Huyo mwanamke,baada ya kumuuliza kanijia juu eti bora ndoa ivunjike,
please great thinkers nisaidieni ushauri kwa huyu ndugu yangu,kumbuka ana watoto 3,na ni mjamzito,pia huyu mwanamke ni mfanyakazi wa serikali ,mume pia ni mfanyakazi,

Wakiachana watoto itakuwaje?
Na wanafanya kazi sehemu moja,kisaikolojia athari zake ni zipi?kwa watoto na wenyewe wahusika
Cha msingi atumikie tu, maana hiki ni kipindi cha mpito tu. Kama mtoto apitapo kutambaa kabla ya kutembea.

Atulie nyumbani alee watoto tu. Baba akirudi alikoenda akukute na watoto wenu Mnaendelea vyema mlisongeshe
 
Ndoa nyingi zinakuwa na changamoto kwa kuwa zinafungwa kwa nguvu na sababu za kimaumbile na ki matamanio na sio ki mapenzi.........

Nguzo ya kwanza ya ndoa imara ni UPENDO.....

Kwenye upendo wa kweli kuna kuvumiliana

Kwenye upendo wa kweli kuna kujaliana

Kwenye upendo wa kweli kuna kutahaminiana

Kwenye upendo wa kweli kuna kuheshimiana.....

Mwanamume mwenye upendo wa kweli kwa mke wake Furaha ya mke wake ni jambo la msingi na la muhimu kwake.....hivyo basi huyatambua majukumu yake na kuyatekeleza bila shuruti......

Vivo hivyo kwa mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwa mumewe......

Nyumba yao hujala na furaha muda wote kwani kila mmoja anapenda kumuona mwenzake akifurahi.......

Ndoa zilizofungwa kwa matamanio Daima haziishi migogoro na maugomvi.....kwani uhalisia unawatoa unawatoa nje ya matamanio na kujua kuwa hukufanya maamuzi sahihi.......

Kabla hujafanya maamuzi yoyote yanayohusu Ndoa jaribu kusema na moyo wako ukiwa peke yako......Daima moyo haudanyanyi isipokuwa matamanio yanatuzidi nguvu na kuupuuza moyo......

Ni vigumu kuwatenganisha wapendanao kwani Daima mioyo yao huishi pamoja
 
Mwambie anunue sumu amuwekee hataendelea
na hiyo tabia
 
Kusalitiwa kunaumiza kuliko kitu chochote. Achague kitu kimoja kati ya hivi
1.talaka
2.kumvumilia
3.kumrudia Mungu wake (awekeze muda wake katika ibada badala ya kumuwaza huyo pasua kichwa)
4.kumpuuza/kutomfatilia kabisa katika hilo
5.yeye pia achepuke
Akishindwa yote hayo,ajiandae kufa kwa presha maana wasiwasi wa mapenzi unaua.
Naunga mkono 3-5 iko very efficient
 
Ndoa nyingi zinakuwa na changamoto kwa kuwa zinafungwa kwa nguvu na sababu za kimaumbile na ki matamanio na sio ki mapenzi.........

Nguzo ya kwanza ya ndoa imara ni UPENDO.....

Kwenye upendo wa kweli kuna kuvumiliana

Kwenye upendo wa kweli kuna kujaliana

Kwenye upendo wa kweli kuna kutahaminiana

Kwenye upendo wa kweli kuna kuheshimiana.....

Mwanamume mwenye upendo wa kweli kwa mke wake Furaha ya mke wake ni jambo la msingi na la muhimu kwake.....hivyo basi huyatambua majukumu yake na kuyatekeleza bila shuruti......

Vivo hivyo kwa mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwa mumewe......

Nyumba yao hujala na furaha muda wote kwani kila mmoja anapenda kumuona mwenzake akifurahi.......

Ndoa zilizofungwa kwa matamanio Daima haziishi migogoro na maugomvi.....kwani uhalisia unawatoa unawatoa nje ya matamanio na kujua kuwa hukufanya maamuzi sahihi.......

Kabla hujafanya maamuzi yoyote yanayohusu Ndoa jaribu kusema na moyo wako ukiwa peke yako......Daima moyo haudanyanyi isipokuwa matamanio yanatuzidi nguvu na kuupuuza moyo......

Ni vigumu kuwatenganisha wapendanao kwani Daima mioyo yao huishi pamoja
Asante mkuu
 
Simu ya mwanaume ni kama kuangalia kitunguu maji pindi ukikatapo machozi hayatakuacha kukutoka.
 
Story ya ndugu yangu##
Nimeolewa na huyu mwanaume miaka 5 iliyopita,wakati wote huo sikugundua kama ananisaliti,nakumbuka ilikuwa mwezi wa pili 2017,mume wangu aliposafiri kuelekea kijijini kwao,alikaa huko kwa muda wa wiki tatu,baada ya kurejea nilibaini kama huko alipata mchepuko,nilimuuliza kwa wema,akakubali na akaomba msamaha,yakaisha,lakini baadae nikagundua tena ana mchepuko mwingine kazini kwake,nikamuuliza alibisha sana,nikasema Mungu yupo na atamuumbua,baada ya muda tena ndo nikayabaini mawasiliano yake na Huyo mwanamke anayefanya nae kazi,(pia huyo dada ni mke wa mtu)baada ya kumuuliza akakiri kosa,kinachoniumiza ni leo tena nimegundua bado anawasiliana na Huyo mwanamke,baada ya kumuuliza kanijia juu eti bora ndoa ivunjike,
please great thinkers nisaidieni ushauri kwa huyu ndugu yangu,kumbuka ana watoto 3,na ni mjamzito,pia huyu mwanamke ni mfanyakazi wa serikali ,mume pia ni mfanyakazi,

Wakiachana watoto itakuwaje?
Na wanafanya kazi sehemu moja,kisaikolojia athari zake ni zipi?kwa watoto na wenyewe wahusika
Afadhali ya huyo ana watatu, ungeolewa na mimi,sijui ungeomba ushauri gani, nina michepuko isiyopungua 60!!!
 
Back
Top Bottom