- Thread starter
- #21
Kwa hiyo watatue ili waendelee kulea watoto!![]()
![]()
sawa mkuuu ...bora ucheke tu maana ako nikainshu kadogo.
Kwa hiyo watatue ili waendelee kulea watoto!![]()
![]()
sawa mkuuu ...bora ucheke tu maana ako nikainshu kadogo.
Asante kwa hili mkuuAmuulize kitu anachokosa kwa mkewe (maana yawezekana ananyimwa au hapati share kwa 100% maana baadhi ya wanawake ni wachoyo na wazembe kitandani utadhani umelala na maiti) ili mkewe ampatie ipasavyo.
Kwa kweliNdoa ndoano
Umeona eeehKwa kweli
Iyo niinshu ndogo inaisha yenyewe...watoto watatu namimba ?/hawa huwa hawaachani !!!.Kwa hiyo watatue ili waendelee kulea watoto!
Pole sana mkuuStory ya ndugu yangu##
Nimeolewa na huyu mwanaume miaka 5 iliyopita,wakati wote huo sikugundua kama ananisaliti,nakumbuka ilikuwa mwezi wa pili 2017,mume wangu aliposafiri kuelekea kijijini kwao,alikaa huko kwa muda wa wiki tatu,baada ya kurejea nilibaini kama huko alipata mchepuko,nilimuuliza kwa wema,akakubali na akaomba msamaha,yakaisha,lakini baadae nikagundua tena ana mchepuko mwingine kazini kwake,nikamuuliza alibisha sana,nikasema Mungu yupo na atamuumbua,baada ya muda tena ndo nikayabaini mawasiliano yake na Huyo mwanamke anayefanya nae kazi,(pia huyo dada ni mke wa mtu)baada ya kumuuliza akakiri kosa,kinachoniumiza ni leo tena nimegundua bado anawasiliana na Huyo mwanamke,baada ya kumuuliza kanijia juu eti bora ndoa ivunjike,
please great thinkers nisaidieni ushauri kwa huyu ndugu yangu,kumbuka ana watoto 3,na ni mjamzito,pia huyu mwanamke ni mfanyakazi wa serikali ,mume pia ni mfanyakazi,
Wakiachana watoto itakuwaje?
Na wanafanya kazi sehemu moja,kisaikolojia athari zake ni zipi?kwa watoto na wenyewe wahusika
Iyo niinshu ndogo inaisha yenyewe...watoto watatu namimba ?/hawa huwa hawaachani !!!.
Wapigane vibao maisha yaendelee
lol,umeniacha hoi,Asante mkuuPole sana mkuu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
lol,umeniacha hoi,
lol!!! Hiyo ndo hali halis!!.ujue nn kuachana nako sio.dili wala nn .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
lol,umeniacha hoi,
lol!!! Hiyo ndo hali halis!!.ujue nn kuachana nako sio.dili wala nn .Mapenzi ni kama glasi dada ikisha pasuka ufa hautokaa uzibike. Hapo ushachokwa tayari.baada ya kumuuliza kanijia juu eti bora ndoa ivunjike,
please great thinkers nisaidieni
Apambane na uvumilivu tuuu![]()
![]()
lol!!! Hiyo ndo hali halis!!.ujue nn kuachana nako sio.dili wala nn .

Huu ndo ukweli mchungu!Mapenzi ni kama glasi dada ikisha pasuka ufa hautokaa uzibike. Hapo ushachokwa tayari.
Kama una watt 3 manake matiti yako hayana mvuto tena, mbunye yako kisha ijua Kila kona, style zako ni zile zile, kwa ufupi huna jipya na mvuto kwake. Sepa Dada.
Atakukera zaidi utende dhambi ya kumtilia simu kwenye maji ama chakula bure.
Haswaaaaaaa kala ng'ombe...mkia usimshinde ...alafu unaonekana anawivu eeehApambane na uvumilivu tuuu![]()
![]()
![]()
![]()

Angekuwa na wivu si angeachana nae muda mrefu mkuuHaswaaaaaaa kala ng'ombe...mkia usimshinde ...alafu unaonekana anawivu eeeh![]()
![]()
![]()
Kweli ,maana alivokuwa anasimulia ,utamhurumia anavohema juu,juuMpotezee focus kulea wanao...ukimfatilia msaliti utakufa siku si zako
Wivu wake niwakulinda mwanamme ndio maana analalama mwemzake kumsaliti huku yeye hamsaliti......waivo mwanamke ni mzuri.Angekuwa na wivu si angeachana nae muda mrefu mkuu