Kutobembeleza ndoa kume sababisha Kaka yangu kuzaa na wanawake wengi

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
Kaka angu katika maisha amekua my role model, kwenye biashara kwenye maendeleo kukaa na kuishi na jamii.

Lakini katika masuala la ndoa naona hilo sitamuiga yote, Kaka yeye alikua anasema kama hauko tayari kumuacha mwana mke usioe, "Marry the one you can afford to leave"

Aliniambia wanawake nikama accessories za magari asikukoseshe safari yako eti una msubiri "move on" ni sawa sawa kama radio ya gari ikifa husiahilishe safari tegeneza ikigoma nunua mpya uendelea na safari yako. Ali seme usieo unayo mpenda oa anae kuzimia, "never ever trust a woman".........

Kaka sasa hivi ni marehemu alifia Africa kusini katika harakati za utafutaji wake kwa ajali ya gari, akiwa na umri wa miaka 38, nilipewa jukumu la kua over seer ya baadhi ya mali zake, ila chagamoto ninao kumbana nao ni idadi ya wakina mama alio zaa nao inataka kulingana na idadi ya watoto alio zaa ni 6 - 11 loh!!! na wote wana haki sawa.

Na shauri kama unaweza kubembeleza mwana mke wa ndoa fanya hivo, kuzaa na wanawake wengi sio dili pia kuna kero fulani badaye kama ninao kumbana nao na hawa mashemeji zangu sita, kila moja na kichwa chake kazi ninao kwelo kweli
 
aliniambie wanawake nikama accessories za magari asikukoseshe safari yako eti unamsubiri "move on" ni sawa kama radio ya gari ikifa usiahilishe safari tegeneza ikigoma nunua mpya uendelea na safari yako.
Ali seme usieo unayo mprnda oa anae kuzimia, "never ever trust a woman".........
Kaka sasa hivi ni marehemu alifia Africa kusini katika harakati za utafutaji wake kwa ajali ya gari, akiwa na umri wa miaka 38, nilipewa jukumu la kua over seer wa baadhi ya mali zake, ila chagamoto ninayo kumbana nayo idadi ya wakina mama alio zaa nao inataka kulingana na idadi ya watoto wake ni 6 - 11 loh na wote wana haki sawa.
Nashauri kama unaweza kubembeleza mwana mke wa ndoa fanya hivo, kuzaa na wanawake wengi sio dili pia kuna kero fulani badaye kama naye kumbana nayo na hao mashemeji zangu sita, kila moja na kichwa chake kazi ninao
Kwa takwimu
Wanaume waaminifu wenye mke mmoja, wanawahi kufa kuliko waliooa wake zaidi ya mmoja.
 
Itoshe kusema kaka yako alikuwa bazazi...huwezi zaa na wanawake 6 kwa kisingizio hicho alichokueleza...haiwezekani wanawake wote hao walikuwa na matatizo
 
Mkuu una umri gani? Achana na hivyo viumbe unawza kupata hata zaidi ya hao. Kama we sio mtu wa kujishusha na kubembeleza, mwana mke hupenda sifa hata kama asitahiri kupata sifa hizo.
 
Kaka angu katika maisha amekua my role model, kwenye biashara kwenye maendeleo kukaa na kuishi na jamii.

Lakini katika masuala la ndoa naona hilo sitamuiga yote, Kaka yeye alikua anasema kama hauko tayari kumuacha mwana mke usioe, "Marry the one you can afford to leave"

Aliniambia wanawake nikama accessories za magari asikukoseshe safari yako eti una msubiri "move on" ni sawa sawa kama radio ya gari ikifa husiahilishe safari tegeneza ikigoma nunua mpya uendelea na safari yako. Ali seme usieo unayo mpenda oa anae kuzimia, "never ever trust a woman".........

Kaka sasa hivi ni marehemu alifia Africa kusini katika harakati za utafutaji wake kwa ajali ya gari, akiwa na umri wa miaka 38, nilipewa jukumu la kua over seer ya baadhi ya mali zake, ila chagamoto ninao kumbana nao ni idadi ya wakina mama alio zaa nao inataka kulingana na idadi ya watoto alio zaa ni 6 - 11 loh!!! na wote wana haki sawa.

Na shauri kama unaweza kubembeleza mwana mke wa ndoa fanya hivo, kuzaa na wanawake wengi sio dili pia kuna kero fulani badaye kama ninao kumbana nao na hawa mashemeji zangu sita, kila moja na kichwa chake kazi ninao kwelo kweli
Huyu ndio dume la mbegu..mwanaume unakuaje na mwanamke mmoja..mama ndio mmoja tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una umri gani? Achana na hivyo viumbe unawza kupata hata zaidi ya hao. Kama we sio mtu wa kujishusha na kubembeleza, mwana mke hupenda sifa hata kama asitahiri kupata sifa hizo.

Umri wangu una uhusiano gani na comment yangu?
 
Acha kila mtu afanye anachoamini ,kikubwa atimize kusudi lake la kuishi tu.Yani kama unahisi una task kubwa ya kutimiza kabla hujaaga dunia, basi jifunze kuchunguza mienendo yako na ulinde afya yako ili usiwe chanzo cha kujiharibu. Pambana na hao mashemeji accordingly maana kaka yeye alishamaliza part yake
 
Kaka angu katika maisha amekua my role model, kwenye biashara kwenye maendeleo kukaa na kuishi na jamii.

Lakini katika masuala la ndoa naona hilo sitamuiga yote, Kaka yeye alikua anasema kama hauko tayari kumuacha mwana mke usioe, "Marry the one you can afford to leave"

Aliniambia wanawake nikama accessories za magari asikukoseshe safari yako eti una msubiri "move on" ni sawa sawa kama radio ya gari ikifa husiahilishe safari tegeneza ikigoma nunua mpya uendelea na safari yako. Ali seme usieo unayo mpenda oa anae kuzimia, "never ever trust a woman".........

Kaka sasa hivi ni marehemu alifia Africa kusini katika harakati za utafutaji wake kwa ajali ya gari, akiwa na umri wa miaka 38, nilipewa jukumu la kua over seer ya baadhi ya mali zake, ila chagamoto ninao kumbana nao ni idadi ya wakina mama alio zaa nao inataka kulingana na idadi ya watoto alio zaa ni 6 - 11 loh!!! na wote wana haki sawa.

Na shauri kama unaweza kubembeleza mwana mke wa ndoa fanya hivo, kuzaa na wanawake wengi sio dili pia kuna kero fulani badaye kama ninao kumbana nao na hawa mashemeji zangu sita, kila moja na kichwa chake kazi ninao kwelo kweli
Ili kumaliza tatizo uwaoe wewe mwenyewe hawatakusumbua.
 
Mimi ndg zetu wa kiristu na onea huruma mke moja ni mateso makubwa hao viumbe wana udhaifu mkubwa sana,
Mimi mkristo..ila hili la mke mmoja sijawahi kubaliana nalo..kwanza hata hao wana 12 wa Israel walitoka kwa wanawake wa4..na hakuna sehemu Yakobo alihukumiwa wala kuadhibiwa zaidi akapewa mibaraka kupitia watoto wake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kila mtu afanye anachoamini ,kikubwa atimize kusudi lake la kuishi tu.Yani kama unahisi una task kubwa ya kutimiza kabla hujaaga dunia, basi jifunze kuchunguza mienendo yako na ulinde afya yako ili usiwe chanzo cha kujiharibu. Pambana na hao mashemeji accordingly maana kaka yeye alishamaliza part yake
Ni kweli ila ni mtihani mkubwa kuna jengo nilitaka niwakamilishie ili wapate kodo nzuri ila wengine hawaoni mbele wanataki libaki hivo hivo ili wote wasifaidike ni kazi kweli kweli, ila ntawamudu tu.
 
Ili kumaliza tatizo uwaoe wewe mwenyewe hawatakusumbua.
Kaka uwe serious usifikilie kama mtoto mdogo hivo wanawake sita ni wapeleke wapi? wakati wa kwangu wawili walisha kua mzigo tena niongeze 6 wawe 8 be serious dude.
 
Hata mimi sikubaliani na misimamo ya kaka yako, lengo la ndoa ni kudumu, kuachana ni pale itakapobidi tu na sio liwe ndio jambo la kutarajiwa.
 
Kweli mkuu marehemu alizidi. Ila tu yote maisha sisi tuliobaki duniani tutimizie hao dogo haki zao tu, kumlaumu Kaka haina maana sana.
 
Back
Top Bottom