Ndoa imekuwa ngumu

Ndoa imekuwa ngumu

umemaliza.........


mtoto wa kike anaishi na mwanaume kama ameolewa kwa zaid ya miez 6........


baadae akiachwa anatamani aolewe tena, really????........


mimi hata km nimetoa mahari,nikijua binti ashawahi kuishi maisha haya navunja huo uchumba fasta na mahari nawaachia!
Safi.
 
Hili swala ni moja ya mmomonyoko wa maadili ya Kiafrika. Kuishi na mwanaume ilhal hajakuoa kwa mtoto wa kike ni kuwadhalilisha wazazi wako. Hata kama si waumini wa dini yeyote lakini ndoa ya kimila ipite.

Ndoa ya kimila hujumlisha mahari na vitu vingine.
Kuna makabila inabidi utoe
1. Blanket la bibi
2. Kitenge cha shangazi
3. Ugoro wa mjomba. (Pesa)
4. Sigara za baba wakubwa na wadogo (pesa)
Kukomboa ziwa la mama na usingizi wa Baba wakati anaelea.

Its stupidity to wait for another human being to give you a certificate to prove that you love somebody!

Stupidity at its core!
 
Ndg una akili sana, soon watakuita mlokole et unajifanya hutendi dhambi.
Ahahahahha pa1 mkuu.

Hapa tunnaelezana zile hali halisi mkuu.

Si unajua mkuu wanaosema wanachunguza tabia hawajui ni zipi tabia wanazochunguza kabisa
 
Ahahahahha pa1 mkuu.

Hapa tunnaelezana zile hali halisi mkuu.

Si unajua mkuu wanaosema wanachunguza tabia hawajui ni zipi tabia wanazochunguza kabisa
Niliwahi kusema ukipata mwenza kwa njia ya ngono usitegemee kama kutakuwepo na uaminifu hata baada ya ndoa, so kila mtu ataendelea kucheat kama kawaida kwa kuwa wote si waaminifu (wazinzi) toka mwanzo, na huwezi kumuomba Mungu akupe mwenza Bora wakati wewe mwenyewe siyo Bora, Kilichopo ni kubet tu.
 
Yes mkuu hilo ndo lililopo
Niliwahi kusema ukipata mwenza kwa njia ya ngono usitegemee kama kutakuwepo na uaminifu hata baada ya ndoa, so kila mtu ataendelea kucheat kama kawaida kwa kuwa wote si waaminifu (wazinzi) toka mwanzo, na huwezi kumuomba Mungu akupe mwenza Bora wakati wewe mwenyewe siyo Bora, Kilichopo ni kubet tu.
 
Sijui kwanini kwakweli..?

Unakuta watu uhusiano wao una zaidi ya miaka miwili...
Wazazi wao pande zote zinafahamu upumbavu wao...
Wanaishi nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja kama mume na mke...ukiwaangalia haraka haraka utajua hawa ni halali...
Gharama zote za maisha wanazimudu wakiwa wawili...

Ukiwauliza ndoa vipi jamani...? WANAKUAMBIA MUDA BADO BHANAA....MAPEMA SANA ETY...

NINI SABABU HAWANA SABABU...WANAONGEA ONGEA MAHARAGE HARAGE TU...

NIMELILETA KWENU WANAJUKWAA TULIJADILI KWA KINA...

KIPI NI KIGUMU KWENYE NENO "NDOA"...? MAANA WATU WANAISHI MAISHA YA NDOA...ILA LINAKOSEKANA NENO HAWA NI WANANDOA HALALI KABISA...HATA ALLAH ANAWARIDHIA KABISA...
wanakuwa hawajapata mtu wa kuwaongoza hadi kufanikisha zoezi lote,kuna baadhi ya dini zina mlolongo mrefu sana katika kufanikisha hili,na hili ndilo tatizo la baadhi ya watu kuishi kindoa bila kufunga ndoa
 
Maika mitatu mnachunguzana...na wengi wao sio vijana wa kiislaam...labda wenzetu dini zenu zinaruhusu zinaa...
we umekuja kidinidini yani kama unaweka mazingira utetee dini yako uchafue zingine...wala haitetewi hivi watu wanaishi sana tena dini tofauti...toa suala la dini hapa tunasemea vijana hapa...ukitaka kusema sio wa dini hii hapa watu wataanza kuweka mengi...mwisho watasema wanaotoa kinyume wengi ni dini hii kitu ambachi sio sahihi .....wengi wanaojifamnya kutumia dini huwa wasanii sana...watu wanajifanya wanasali kumbe wanatapeli watu na wana alama zinaoesha wanasali sana..
 
Back
Top Bottom