Ndoa hizi zisikieni tu

kabla ya kuolewa na huyo jamaa alijiuliza kwanini jamaa hakuoa huyo mzazi mwenzie wa awali?yawezekana huyo mdada aliyezaa nae alishajua jamaa kimeo hafai kuwa mume! ndo mana wako vizuri kimawasiliano lkn hawakuoana! yeye akaingia kichwakichwa kaolewa ndo inakula kwake
 
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done

Makungwi wengi nao watoaji ushauri wazuri tu ....ila wao sasa unakuta alishaachika mara kumi lol!!!!
 
Ndio, kuna wanawake wengine wanata kuishi kwa style hiyo..maana ukiwapa uhuru zaidi utaona madhara yake.
 
Hapo ujue mwanamke anavumilia tu kwa sababu akitema sumu atakuwa hana pa kushikilia,

Mwambie awe anaenda pembeni pale anapoona mumewe anongea na mke mwenzie, simple!

ajifanye tu haoni kama bado anaitaka hiyo ndoa....
 
Daaah we unaweza kuondoka wakati unajua mumeo simu alipookwa sio yaheli?

Inagitaj roho ya chuma



Hapo ujue mwanamke anavumilia tu kwa sababu akitema sumu atakuwa hana pa kushikilia,

Mwambie awe anaenda pembeni pale anapoona mumewe anongea na mke mwenzie, simple!

ajifanye tu haoni kama bado anaitaka hiyo ndoa....
 

Muwe makini mmapochagua wenza wa kuolewa naoo!!!! Dunia tunayoishi haina maajabu unavuna ulichopanda.
 
Mumewe DAKTARI anampa HELA,SIFA ANAPATA MKE WA DAKTARI,MATIBABU BURE.Mbona Hayo Mambo Mengine Ni Ya KUVUMILIA TU...!!!

the same applies kwa shogangu mmoja hivi.. enzi hizoo alikuaga na mfanyabiashara alimpa kila kitu alichohitaj + pesa za matumizi from 1st yr -3rd yr halafu. tulipomaliza chuo kila mtu kwao bidada akampata docta..kamwaga msukuma wa watu saiv bidada anajutaaa na ni pregnant sasa wee anatamani afe.......
 
na inawezekana alishauliwa kabla akaona watu wana waivu.
hilo nalo neno maana wadada wa sasa wanvopenda kuolewa,hata ukimuambia ukweli kuhusu jamaa yaani hawaelewagi as long as jamaa katangaza ndoa baaaasi.....akifika huko ndio sasa utumwa wa hiyari unapoanzia cc The Boss.
 
Wakati mwingine sion sababu za kuwaonea huruma watu kama hao;sababu

1.Ndiye aliyelazimisha ndoa,
2.Ni malipo,baada ya kuaribu mahusiano ya wengine.
3.Huwezi ingia kwenye ndoa kwa ridhaa yako na mtu leo,kesho umlaumu.Tatizo ni wewe!


NDOA NI MUUNGANO WA WATU WAWILI.KTK TATIZO LOLOTE MUME ANAMCHANGO WA 50% NA MKE PIA HIVYO HIVYO.TABIA YA MWENZIO YAWEZEKANA NI MATOKEO YA TABIA AU MWENENDO WAKO.KTK KILA TATIZO JE WEWE UNAMCHANGO GANI?.YAWEZEKANA MCHANGO WAKO NI KUMCHAGUA MWENZIO VIBAYA!
 
kwenye ndoa mwanaume akishakuwa malaya ujue ni janga
 
Avumilie tu ndo upendo wa dhati huo.
 
Kwa .y. hizi ndoa zinanitisha
Mungu anisaidie cjui nikiingia Yang itakuweje
 
mwanaume wa ivo aiseeh mie hapana!!,narudi kwetu sikufukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…