Ndo uanaume wenyewe au nina tatizo?

Ndo uanaume wenyewe au nina tatizo?

Habari zenu wakuu..
Jaman mwenzenu nimekua na tabia moja ambayo nashindwa kuelewa kwamba ni tatizo au ndo uanaume. Mwenzenu huwa cwezi kutoa pesa kwa mwanamke, kila nikitaka kutoa pesa nachukulia kama nahonga vile naahirisha, yaani mwanamke akiniomba pesa huwa natokea kumdharau na kumchukulia kama hana mapenzi ya kweli anataka kunichuna na inaweza kuwa sababu ya mm na yy kuachana. Haimaanishi kwamba cna pesa ya kuhonga au kumpa mwanamke, ila tu imekua tabia yangu kutokutoa pesa.
Sasa hili ni tatizo au kitu gan? Mwenye ushauri plz!!!
hauna tatizo! mkuu komaa hivo hivo
na papuchi utakula kikamanda
 
ubahili ukizd n tatzo kuhonga nako kukizid n tatzo, saidia ila usijonge
 
Back
Top Bottom