Ndo tumefikia hapa

Niko manzese saa 7 usiku nagonga beer, its weekend aisee wamekuja police wametukimbiza wametupa beers zimepigwa risasi tatu hewani, yaani leo tz tumefikia hapa hivi ccm mnatufikisha hapa! Vinywaji mezani vyote vimemwagwa! Bar ni erado! Hivi police anaruhusiwa kupiga risasi hewani tena tatu, na kumwaga vinywaji vyote!
Point siyo manzese point ni askari kupiga risasi hewani tatu bila kuwa kuudhiwa pia kumwaga beer zote za mezani kwa wateja.
kwa nini uwakimbie polisi?
 
Kwani hiyo bar inakibali cha kukesha?

Ila kupiga risasi ovyo siyo sahihi, kama hakuna tishio lolote la kujihami.

Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom