Bila shaka mliwanyima hata za offerNiko manzese saa 7 usiku nagonga beer, its weekend aisee wamekuja police wametukimbiza wametupa beers zimepigwa risasi tatu hewani, yaani leo tz tumefikia hapa hivi ccm mnatufikisha hapa! Vinywaji mezani vyote vimemwagwa! Bar ni erado! Hivi police anaruhusiwa kupiga risasi hewani tena tatu, na kumwaga vinywaji vyote!
Point siyo manzese point ni askari kupiga risasi hewani tatu bila kuwa kuudhiwa pia kumwaga beer zote za mezani kwa wateja.
Hao mbwa hawastahili kitu halali yao ni kifoMngewatoa buku mbili za maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bia ninanunua supermarket, hizo za bar labda kama Nina miadi na mtu. Tena nyumbani nikilewa ninatambaa kwenda chumba ni wala si wazi kuendesha gari