Mimi bado sijui hata nitafanyaje sasa?[emoji134] [emoji134]Mtoa mada vp umeshatumiwa code?
Sasa vp unarudi tena TCU au inakuaje kama unarudi tena itabidi nikuunganishe na kijana wangu muongeze nguvu ya kupeana updatesMimi bado sijui hata nitafanyaje sasa?[emoji134] [emoji134]
Kiongozi hili unalo lisema lina ukweli????Mi niliwaombea watu wawili nikapata code namba moja nikaitumia ku confirm ikakubali
Jaribuni kuomba hata ya mtu mjaribu ku confirm
Yes,nime confirm SUA na ardhi kwa code namba ileile.Kiongozi hili unalo lisema lina ukweli????
Duuuh, sa na mm c unitumie hzo code nijaribu mkuu maana nisha changanyikiwa hapa udsm cja comfirm bado ,, 0685253860 ndo namba zangu nipe nijaribu bahatYes,nime confirm SUA na ardhi kwa code namba ileile.
Niliwaombea watu wa2 nikajaza namba yangu ya simu nilipotumiwa code nikajaribu ardhi ikakubali na SUA ikakubali nikawapigia simu wakanihakikishia you have confirmed
1.Niko mbali na TCUSasa vp unarudi tena TCU au inakuaje kama unarudi tena itabidi nikuunganishe na kijana wangu muongeze nguvu ya kupeana updates
Muda umeongezwa, endelea kufuatiliaJamani me ndo sielewi kabisa.
duh...asee..nmejaribu hii kitu kumfanyia mtu confirmation imekubaliYes,nime confirm SUA na ardhi kwa code namba ileile.
Niliwaombea watu wa2 nikajaza namba yangu ya simu nilipotumiwa code nikajaribu ardhi ikakubali na SUA ikakubali nikawapigia simu wakanihakikishia you have confirmed