Ndo new member

Ndo new member

karibu sana bestito
ngoja nimwite Asprin akukague kidogo kama unafaa kuwa hapa cc
upelekwe kona ingine inayokufaa zaidi

utaonana na Bujibuji huyu hapa View attachment 122677 yeye atakukagua kama hauna makengeza ya upande upande ila usimuogope kwani yeye ameshapimwa na Dr. Arushaone na tena ana cheti cha UFAMASIA toka ubelgiji
Ndio nakaribia jaman ni pokee vizur
 
Last edited by a moderator:
id yako bwana kukumensheni itakuwa kazi
 
karibu ukaribie upewe kiti ukalie na kitako utulie.
Nalog off
 
Back
Top Bottom