Ndo maana wanaume tunakufa haraka

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
IMG-20180108-WA0003.jpg
 
Wanaume tumeambiwa mateso na kuhangaika

Kuumbwa tu kiumbe wa jinsia ya kiume kuna kuweka kwenye risk ya kufa muda wowote..........

Ndio unaweza kukuta mwanaume katoka nyumbani kwenda kutafuta ridhiki anakutwa njiani kafa kagongwa na gari au yupo Muhimbili Moi.........
 
Mmmmmh!!! Hapo ukute analelewa hivyo lazima ajionyeshe angalau ana mbavu(wanaume wa siku hizi)
 
Back
Top Bottom