ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Kule kwetu tunaita Bokoboko,ni tamu sana na zina harufu flani hivi nzuri sana.
HahahaKikwetu tunaziita HuaweiView attachment 1651673
Watu mko vizuri sana mnaona mpaka nyuma ya pazia[emoji23][emoji23]Dada ana mkono mzuri![emoji847][emoji847][emoji847]
Mweeh..sikujua hili.. ahsanteKwetu Songea tunaita kaporota,
Ndo ivo cc, mambo ya home hayoooh.Mweeh..sikujua hili.. ahsante
Tatizo hizo kucha zinasababisha mara nyingine wanashindwa kujisafisha kunakoDada ana mkono mzuri![emoji847][emoji847][emoji847]
Umenikumbusha mbali Mkuu, enzi hizo na Bibi yangu.
naona wachina mmeanza kujiunga jf kabisaa[emoji13]Kikwetu tunaziita HuaweiView attachment 1651673
Nasema Uongo Ndugu ZanguDada ana mkono mzurNdiyo Ukweli Wenyewe i!🤗🤗🤗
Nasema Uongo Ndugu ZanguDada ana mkono mzurNdiyo Ukweli Wenyewe i!🤗🤗🤗
🤣🤣🤣Nasema Uongo Ndugu Zangu
Haa 😅😄😃🤣😂😁😀Ngoja nimuulize Mama