Ronn M
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 1,279
- 683
- Thread starter
- #41
Badili badili inaweza sababisha upate uambukizo wa magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya kujamiiana(STD'I) kwa mfano chlamydia and gonorrhea ,ingawa sometime huwa dalili hizi hazijionyeshi ,pia Bacterial vaginosis(huu sio ugonjwa wa kuambukizwa) husababisha pia mucus kuongezeka
wewe hujasema hiyo fluid yako ikoje .kawaida vaginal mucus inatofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine .kama ina harufu ambayo si ya kawaida ni vizuri ukaenda hosp kwa vipimo.
Mbona mnanikomalia? I ve said mimi mwanaume. Sasa fluid yangu imetoka wapi? Please may you read the topic. Its something I have heard somewhere and im asking to get more knowledge!