Ndiyo Sisi Hao!

Beki 3 za huko zimenona sana huko

Huku kwengine beke 3 wenu wamekonda kwa ajili ya roho mbaya zenu zidi ya watoto wa watu na umaskini
 
Hio mitaa ya ushuani kabisa kama sio Msasani basi ni Masaki huko! Huko gari zinazopita 80% hazina miaka zaidi ya mitano toka zitoke kiwandani!
Break ni kunusa tu😆🤣
 
Ah gari tu yenyewe ina sense kuna object mbele inakamata brakes yenyewe. Gari za huko zina driving assistance
🤣😆kumbe ni mtoto kutoka Matombo anaotea upepo barabarani
 
Mtoa mada acha unaaaa.

Mpiga picha si ni wewe na hata huyo mdoli umemuweka profile ni wa hako katoto?

🤭🤭🤭🤣🤣🤣🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️

nisamehe mkuu sirudii tenaaa
 
Roberto Carlos wa ushuani...halafu ana T kubwa ina picha ya mmea 😂
 
Roberto Carlos wa ushuani...halafu ana T kubwa ina picha ya mmea 😂
🤣nimesoma zaidi ya mara tatu sijakuelewa, sasa ndiyo nimeelewa👏✋👍😆
 
Hio mitaa ya ushuani kabisa kama sio Msasani basi ni Masaki huko! Huko gari zinazopita 80% hazina miaka zaidi ya mitano toka zitoke kiwandani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…