Ndiyo mzee: Slogan mpya CHADEMA

Robethn

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
2,103
352
NDIYO MZEE: SLOGAN MPYA CHADEMA.

Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema NDIYO MZEE

2007: Lowasa FISADI kama anabisha aende Mahakamani- NDIYO MZEE FISADI

2007: LOWASA YUPO KWENYE LIST OF SHAME: NDIYO MZEE YUPO NA HATUFAI

2014: Zitto ni YUDA - NDIYO MZEE ZITTO NI YUDA

2015 February: LOWASA NI DHAIFU - NDIYO MZEE

2015 February: Hatuchukui makapi ya CCM - NDIYO MZEE HATUCHUKUI

2015 June: CCM MSIMCHAGUE FISADI TUNAFAILI TUMEMUANDALIA- NDIYO MZEE TUTALIFUNGUA FAILI

2015 JULY: LOWASA KARIBU UKAWA - NDIYO MZEE KARIBU

2015 JULY: LOWASA KARIBU CHADEMA, LOWASA JEMBE - NDIYO MZEE LOWASA JEMBE

2015 JULY: SLAA AMEOMBA KUPUMZIKA- NDIYO MZEE APEWE MAPUMZIKO

2015 August Lowasa si FISADI mwenye ushahidi aende mahakamani- NDIYO MZEE MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI

2015 SEPTEMBA - SLAA AFUNGUKA KUHUSU UFISADI WA LOWASA- SLAA DHAIFU, AMENUNULIWA, MSALITI - NDIYO MZEE

ENDELEENI KUWA NDIYO MZEE NA HAMTAWEZA KUTUMIA AKILI ZENU KAMWE KWASABABU MMEJIFUNZA KUITIKIA VIBWAGIZO NDIYO MZEE.
 
ndiyo mzee: Slogan mpya chadema.

Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema ndiyo mzee

2007: Lowasa fisadi kama anabisha aende mahakamani- ndiyo mzee fisadi

2007: Lowasa yupo kwenye list of shame: Ndiyo mzee yupo na hatufai

2014: Zitto ni yuda - ndiyo mzee zitto ni yuda

2015 february: Lowasa ni dhaifu - ndiyo mzee

2015 february: Hatuchukui makapi ya ccm - ndiyo mzee hatuchukui

2015 june: Ccm msimchague fisadi tunafaili tumemuandalia- ndiyo mzee tutalifungua faili

2015 july: Lowasa karibu ukawa - ndiyo mzee karibu

2015 july: Lowasa karibu chadema, lowasa jembe - ndiyo mzee lowasa jembe

2015 july: Slaa ameomba kupumzika- ndiyo mzee apewe mapumziko

2015 august lowasa si fisadi mwenye ushahidi aende mahakamani- ndiyo mzee mwenye ushahidi aende mahakamani

2015 septemba - slaa afunguka kuhusu ufisadi wa lowasa- slaa dhaifu, amenunuliwa, msaliti - ndiyo mzee

endeleeni kuwa ndiyo mzee na hamtaweza kutumia akili zenu kamwe kwasababu mmejifunza kuitikia vibwagizo ndiyo mzee.
pole sana kada!...
 
NDIYO MZEE: SLOGAN MPYA CHADEMA.

Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema NDIYO MZEE

2007: Lowasa FISADI kama anabisha aende Mahakamani- NDIYO MZEE FISADI

2007: LOWASA YUPO KWENYE LIST OF SHAME: NDIYO MZEE YUPO NA HATUFAI

2014: Zitto ni YUDA - NDIYO MZEE ZITTO NI YUDA

2015 February: LOWASA NI DHAIFU - NDIYO MZEE

2015 February: Hatuchukui makapi ya CCM - NDIYO MZEE HATUCHUKUI

2015 June: CCM MSIMCHAGUE FISADI TUNAFAILI TUMEMUANDALIA- NDIYO MZEE TUTALIFUNGUA FAILI

2015 JULY: LOWASA KARIBU UKAWA - NDIYO MZEE KARIBU

2015 JULY: LOWASA KARIBU CHADEMA, LOWASA JEMBE - NDIYO MZEE LOWASA JEMBE

2015 JULY: SLAA AMEOMBA KUPUMZIKA- NDIYO MZEE APEWE MAPUMZIKO

2015 August Lowasa si FISADI mwenye ushahidi aende mahakamani- NDIYO MZEE MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI

2015 SEPTEMBA - SLAA AFUNGUKA KUHUSU UFISADI WA LOWASA- SLAA DHAIFU, AMENUNULIWA, MSALITI - NDIYO MZEE

ENDELEENI KUWA NDIYO MZEE NA HAMTAWEZA KUTUMIA AKILI ZENU KAMWE KWASABABU MMEJIFUNZA KUITIKIA VIBWAGIZO NDIYO MZEE.

Chacha wangwe msaliti------ndio mzee

kafulila sisimizi-------ndio mzee
 
Twiga wamepanda ndege! Ndiyo Mzee!

wewe tunajua sio cdm, upo ukawa kwa mkopo, uliemfuata akibwagwa utarudi uliko toka....waache wenye chama wajijibie....wewe juzi tu ulikuwa unamwaga mitusi humu kwa cdm eti leo wewe ndio mtetezi wao
 
Ndiyo Mzee.
Zidumu fikira za Mwenyekiti Kamanda wa Anga anayebadili gia angani
 
Tukaneni mitandaoni wanaopingana na mitazamo ya mungu Mbowe kuhusu RUZUKU na VITI MAALUM-NDIO MZEE mbowe wewe ni shujaa
 
ahahahaaa wazee wa ndio mzee hao. .
..."WANAOMSHABIKIA LOWASA WAKAPIMWE AKILI" ndio mzee.
..ukawa wamechemka na kutokota malofa kwelikweli wanarudia matapishi yao
 
wewe tunajua sio cdm, upo ukawa kwa mkopo, uliemfuata akibwagwa utarudi uliko toka....waache wenye chama wajijibie....wewe juzi tu ulikuwa unamwaga mitusi humu kwa cdm eti leo wewe ndio mtetezi wao
Tulia wewe. CCM imeoza, kama imekimbiwa na viongozi waandamizi wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu, itakuwa mimi? Ukweli mchungu!!!!!
 
wewe tunajua sio cdm, upo ukawa kwa mkopo, uliemfuata akibwagwa utarudi uliko toka....waache wenye chama wajijibie....wewe juzi tu ulikuwa unamwaga mitusi humu kwa cdm eti leo wewe ndio mtetezi wao

mwanadamu anaisha maisha ya kubalika kutokana na mazingira na majira.ulipokuwa unajinyea na kula kamasi zako,kwani bado unajinyea na kula kamasi zako si umebadilika!
 
Back
Top Bottom