NDIYO MZEE: SLOGAN MPYA CHADEMA.
Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema NDIYO MZEE
2007: Lowasa FISADI kama anabisha aende Mahakamani- NDIYO MZEE FISADI
2007: LOWASA YUPO KWENYE LIST OF SHAME: NDIYO MZEE YUPO NA HATUFAI
2014: Zitto ni YUDA - NDIYO MZEE ZITTO NI YUDA
2015 February: LOWASA NI DHAIFU - NDIYO MZEE
2015 February: Hatuchukui makapi ya CCM - NDIYO MZEE HATUCHUKUI
2015 June: CCM MSIMCHAGUE FISADI TUNAFAILI TUMEMUANDALIA- NDIYO MZEE TUTALIFUNGUA FAILI
2015 JULY: LOWASA KARIBU UKAWA - NDIYO MZEE KARIBU
2015 JULY: LOWASA KARIBU CHADEMA, LOWASA JEMBE - NDIYO MZEE LOWASA JEMBE
2015 JULY: SLAA AMEOMBA KUPUMZIKA- NDIYO MZEE APEWE MAPUMZIKO
2015 August Lowasa si FISADI mwenye ushahidi aende mahakamani- NDIYO MZEE MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI
2015 SEPTEMBA - SLAA AFUNGUKA KUHUSU UFISADI WA LOWASA- SLAA DHAIFU, AMENUNULIWA, MSALITI - NDIYO MZEE
ENDELEENI KUWA NDIYO MZEE NA HAMTAWEZA KUTUMIA AKILI ZENU KAMWE KWASABABU MMEJIFUNZA KUITIKIA VIBWAGIZO NDIYO MZEE.

Wewe kuwepo ukawa mwisho oct 25 lile fisadi lako likipigwa mweleke utalia sana lazima ubadili id.
Endelea kukata viuno tu hapa! Ila elewa fika! Mwaka huu ni Lowassa! Muibe kura msiibe Kura! Tunamuingiza Ikulu Lowassa! Washenzi nyie!