Chadema ilikuwa zamani ya sasa remix faeturing lowasa
Umeshamzidi Mkapa kwa lugha
NDIYO MZEE: SLOGAN MPYA CHADEMA.
Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema NDIYO MZEE
2007: Lowasa FISADI kama anabisha aende Mahakamani- NDIYO MZEE FISADI
2007: LOWASA YUPO KWENYE LIST OF SHAME: NDIYO MZEE YUPO NA HATUFAI
2014: Zitto ni YUDA - NDIYO MZEE ZITTO NI YUDA
2015 February: LOWASA NI DHAIFU - NDIYO MZEE
2015 February: Hatuchukui makapi ya CCM - NDIYO MZEE HATUCHUKUI
2015 June: CCM MSIMCHAGUE FISADI TUNAFAILI TUMEMUANDALIA- NDIYO MZEE TUTALIFUNGUA FAILI
2015 JULY: LOWASA KARIBU UKAWA - NDIYO MZEE KARIBU
2015 JULY: LOWASA KARIBU CHADEMA, LOWASA JEMBE - NDIYO MZEE LOWASA JEMBE
2015 JULY: SLAA AMEOMBA KUPUMZIKA- NDIYO MZEE APEWE MAPUMZIKO
2015 August Lowasa si FISADI mwenye ushahidi aende mahakamani- NDIYO MZEE MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI
2015 SEPTEMBA - SLAA AFUNGUKA KUHUSU UFISADI WA LOWASA- SLAA DHAIFU, AMENUNULIWA, MSALITI - NDIYO MZEE
ENDELEENI KUWA NDIYO MZEE NA HAMTAWEZA KUTUMIA AKILI ZENU KAMWE KWASABABU MMEJIFUNZA KUITIKIA VIBWAGIZO NDIYO MZEE.
dah chadema wamekuwa mafisadi leo? dah , yaani unanitia hasira sana. ila 25/10 siyo mbali tutajua nani ni nani.Mafisadi ya chadema unayaumiza kweli kwa maneno kama haya.
mwanadamu anaisha maisha ya kubalika kutokana na mazingira na majira.ulipokuwa unajinyea na kula kamasi zako,kwani bado unajinyea na kula kamasi zako si umebadilika!
October 28,2015
MATOKEO
Edward N. Lowassa-59.20%
John P. J. Maguful-39.97%
OTHERS; ..............
JK: Haya ndo matokeo?
LUBUVA: NDIO MZEE
NDIYO MZEE: SLOGAN MPYA CHADEMA.
Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema NDIYO MZEE
2007: Lowasa FISADI kama anabisha aende Mahakamani- NDIYO MZEE FISADI
2007: LOWASA YUPO KWENYE LIST OF SHAME: NDIYO MZEE YUPO NA HATUFAI
2014: Zitto ni YUDA - NDIYO MZEE ZITTO NI YUDA
2015 February: LOWASA NI DHAIFU - NDIYO MZEE
2015 February: Hatuchukui makapi ya CCM - NDIYO MZEE HATUCHUKUI
2015 June: CCM MSIMCHAGUE FISADI TUNAFAILI TUMEMUANDALIA- NDIYO MZEE TUTALIFUNGUA FAILI
2015 JULY: LOWASA KARIBU UKAWA - NDIYO MZEE KARIBU
2015 JULY: LOWASA KARIBU CHADEMA, LOWASA JEMBE - NDIYO MZEE LOWASA JEMBE
2015 JULY: SLAA AMEOMBA KUPUMZIKA- NDIYO MZEE APEWE MAPUMZIKO
2015 August Lowasa si FISADI mwenye ushahidi aende mahakamani- NDIYO MZEE MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI
2015 SEPTEMBA - SLAA AFUNGUKA KUHUSU UFISADI WA LOWASA- SLAA DHAIFU, AMENUNULIWA, MSALITI - NDIYO MZEE
ENDELEENI KUWA NDIYO MZEE NA HAMTAWEZA KUTUMIA AKILI ZENU KAMWE KWASABABU MMEJIFUNZA KUITIKIA VIBWAGIZO NDIYO MZEE.
Yaani ni majanga tu huko chadema
Hapa ni kazi mdomoni tu.Ok,october 25,ndo watatambua maana ya HAPA NI KAZI TU
hawa wanachama ni jamii ya watu wanaomini kuwa kila lisemwalo na viongozi wao ni sahihi, hawana upeo wa kutafakari wala kupinga jambo lolote toka kwa viongozi wao, sijui wamelishwa nini
viongozi wa siasa wanalenga kuingia madarakani bila kujalisha mwananchi atapata faida gani baada ya wao kuingia madarakani
jukumu lako mwananchi ni kupima ukweli wa maneno yao kabla ya kuwapa kura yako kisha uangalie kama utapata faida au hasara gani kwa kuwapa kura yako.
Jiulize kama upo tayari kumchagua mpiga dili maarufu anayetumia pesa za chama chake kulipia madeni yake bianfsi
Je, upo tayari kumpa kura yako mtu mwenye afya dhaifu na mtovu wa maadili?
Je upo tayari kumpa kura yako mtu aliyekataliwa na Marais wote waliopita kwa kuhofia majanga ya utawala wake kwa raia?
Je upo tayari kumpa kura yako mtu anayelazimisha kuingia ikulu hata kama kwa kuinunua kwa mabilioni ya shilingi?
Ukisha jiuliza haya najua utatoka na jibu la kumchagua kiongozi mzalendo wa kweli ambaye hajatumia hata senti moja kuhonga wananchi wake ili wamchague
kura yako sahihi itaenda kwa John Magufuli
mmoja amehsmia chadema NDIO MZEECCM wamebakiza mafisadi 10 NDIO MZEE
#hapakwenzitu#NDIYO MZEE: SLOGAN MPYA CHADEMA.
Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema NDIYO MZEE
#Hapa kwenzi tu#