Ndiyo mzee: Slogan mpya CHADEMA

Ndiyo mzee: Slogan mpya CHADEMA

Unapokua na wananchama ambao wao kazi yao ni kufuta mkumbo ni tabu kweli, yani wao kila ktu wataitikia tu hata ukiwaambia nini. Ndio maana walishangilia walipoambiwa kuwa mbakaji atafunguliwa. Wakashangilia hata walipoambiwa marehemu atafufuliwa. Yani wao waambie hata nini watakubali. Huu si undorobo
 
Unapokua na wananchama ambao wao kazi yao ni kufuta mkumbo ni tabu kweli, yani wao kila ktu wataitikia tu hata ukiwaambia nini. Ndio maana walishangilia walipoambiwa kuwa mbakaji atafunguliwa. Wakashangilia hata walipoambiwa marehemu atafufuliwa. Yani wao waambie hata nini watakubali. Huu si undorobo

Nani mbakaji?
Nani aliyekufa?.
Hebu wataje uone majibu ya wananchi.
 
NDIYO MZEE: SLOGAN MPYA CHADEMA.

Kabourou ni msaliti bila uchunguzi wowote wanachama wote wakasema NDIYO MZEE

2007: Lowasa FISADI kama anabisha aende Mahakamani- NDIYO MZEE FISADI

2007: LOWASA YUPO KWENYE LIST OF SHAME: NDIYO MZEE YUPO NA HATUFAI

2014: Zitto ni YUDA - NDIYO MZEE ZITTO NI YUDA

2015 February: LOWASA NI DHAIFU - NDIYO MZEE

2015 February: Hatuchukui makapi ya CCM - NDIYO MZEE HATUCHUKUI

2015 June: CCM MSIMCHAGUE FISADI TUNAFAILI TUMEMUANDALIA- NDIYO MZEE TUTALIFUNGUA FAILI

2015 JULY: LOWASA KARIBU UKAWA - NDIYO MZEE KARIBU

2015 JULY: LOWASA KARIBU CHADEMA, LOWASA JEMBE - NDIYO MZEE LOWASA JEMBE

2015 JULY: SLAA AMEOMBA KUPUMZIKA- NDIYO MZEE APEWE MAPUMZIKO

2015 August Lowasa si FISADI mwenye ushahidi aende mahakamani- NDIYO MZEE MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI

2015 SEPTEMBA - SLAA AFUNGUKA KUHUSU UFISADI WA LOWASA- SLAA DHAIFU, AMENUNULIWA, MSALITI - NDIYO MZEE

ENDELEENI KUWA NDIYO MZEE NA HAMTAWEZA KUTUMIA AKILI ZENU KAMWE KWASABABU MMEJIFUNZA KUITIKIA VIBWAGIZO NDIYO MZEE.

Utakuwa na asili ya unene.................
 
Magufuli alijiuzia nyumba akamuuzia na hawara yake... Ndioo mzeeeeee!
 
Viongozi wao ni madikteta na wanachama wake ni vipofu, hawaoni yatendekayo. Elimika Mtanzania, chagua CCM kwa maendeleo ya kweli ya nchi yako
 
Watanzania Tutampa kura zote lowasa
... ndio mzee.

Safari hii hatudanganyiki na ccm
.........ndio mzeee
 
Back
Top Bottom