Ndivyo tulivyo

Ndivyo tulivyo

utafiti, mimi sipo huko bhana, acha kunisingizia
 
Last edited by a moderator:
Duuh vidolari vinaponyesha kumbe?
Khantwe hujui simu ikivibrate kwa dollar hata kama ulikuwa unaumwa unapona ghafla maana unajua hapo una pesa ya kunywa supu na kugonga nyama nzuri nzuri
 
Last edited by a moderator:
hahahaha kwa muhindi vipi uko tayari nikuunganishie
Excel yupo busy ngoja niongee nae akubadilishie viatu lol

miss neddy aise niko tayari niunganishe kwa mhindi bana ila asiwe wa peleka toto shule, ipa toto uji au peleka mama sokoni
Mwambie aache zake bana nini anajificha hivyo hata kama yuko busy mbaya
 
Last edited by a moderator:
miss neddy aise niko tayari niunganishe kwa mhindi bana ila asiwe wa peleka toto shule, ipa toto uji au peleka mama sokoni
Mwambie aache zake bana nini anajificha hivyo hata kama yuko busy mbaya

hahahaha kazi unataka na masharti juu
Excel yupooo ubavuni hapa ngoja jua lichomoze atakuja tu
 
Last edited by a moderator:
hahahaha kazi unataka na masharti juu
Excel yupooo ubavuni hapa ngoja jua lichomoze atakuja tu

Mhhh ubavuni muda huu wakati ni muda wa kuchacharika huu
Yeye anafanya kazi kwa mhindi gani amempa off ya kazini leo
Ahhh miss neddy unataka nifanye kazi ya kuvusha vitoto vya kihindi barabarani aise kuvipeleka shule au nikutane na wewe kariakoo nachagua nyanya
 
hahahahaha kusaga lami na kupata angalau nusu mkate bora nini
 
faini yako wewe na Mr Rocky mnitumie laki 3 kila mmoja ndo nitawasamehe

sitaki mimi now nipe hela

Mndengereko kija pande hizi miss chagga anataka mshiko hataki matunda na vijuice vyako miss chagga tuma no yako ya mpesa chap chap tuwekemo vidolari vya kutosha kukuponyesha
huyu mgonjwa anaeependa hela sana kuliko kujali afya yake ka kweli atanishinda hwcome namletea juice na matunda aone havina thamani aweke pesa mbele??
 
huyu mgonjwa anaeependa hela sana kuliko kujali afya yake ka kweli atanishinda hwcome namletea juice na matunda aone havina thamani aweke pesa mbele??

Balaa mkuu. Mgonjwa anapenda pesa kuliko dawa na juice aise. Huyu no mchagga kweli halazi pesa nje bana
Mkuu Mndengereko uko salama wewe usipotee kama Excel na Tized na utafiti
 
Last edited by a moderator:
huyu mgonjwa anaeependa hela sana kuliko kujali afya yake ka kweli atanishinda hwcome namletea juice na matunda aone havina thamani aweke pesa mbele??

pesa itanunua juice na vitu vingine vingi so i dont care much kuhusu juice
 
alisahahu kuniletea dawa sasa nataka hela ya dawa na maji na biscuit lakini hela nyingi ili niweze nunua nyingi

Dawa na na juice na biscuit nyingi kwani unafungua duka au pharmacy mhh mtoto wa kichagga kwa pesa mwambie baba yako utafiti akufungulie account watu wawe wanatuma huko moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
"When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams" mimi hunipendi kwa sababu huwa unalala sana

Huwa silali natekeleza hicho nilichoandika na unajua kwa uhalisia mpaka baba yako anajua kuwa nakupenda hayo mengine ni mbwembwe tuu
Love you sana miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom