Niko vizuri sana kiongozi, habari ya wewe?
Salama kabisa mkuu tupo tunapambana aise
Sijawaona Mndengereko na Tized humu sijui wamepotezwa na nani na Excel sijui ana ban
Hawa jamaa hawaonekani kabisa mkuu sijui ubize?
Kuajiriwa na muhindi kuna shida yake kaka
Mi huo utani sipo kabisa unataka kuniambia Tized na Mndengereko wameajiriwa na mhindi
Na wale hawana dogo unaweza shangaa unaanbiwa Mndengereko kuja peleka toto shule au kuja tawadha toto au kuja mpa uji toto au kuja nenda nunua vitu sokoni wkati umeajiriwa kama mhasibu
Hahaaha kama unawaona mkuu, mara unaambiwa uingie jikoni upike pilipili
Mara kuja peleka mama salon mara kuja peleka toto shule mzee mzima unavuka barabara na kitoto cha kihindi unakipeleka shule watu wanajua kabisa huyo sio wako kabisa Mndengereko na Tized njooni mjibu tuhuma huku za utafiti
Kwa hiyo ina maana Excel na mke wake miss neddy wote wameajiriwa na mhindiHahhaha miss neddy pia yupo huko
Kwa hiyo ina maana Excel na mke wake miss neddy wote wameajiriwa na mhindi
Sipati picha Excel katumwa na mhindi wake sokoni na huku miss neddy nae katumwa na mhindi wake sokoni wanakutana kwenye kuchagua nyanya ni balaa
Kwakweli wale watu ni balaa
Ukimtishia polisi au mwanasheria wanalainika mbaya sana na ni waoga sana mambo yao kufikishwa huko maana wanajua mengi yataibukaIla wale watu ni woga sana