[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji205] [emoji205] [emoji205]weee Vale mbona leo umekuwa mpambe hivyo? hahahaaa leo sina uchokozi na Nyani mwache ajilie mahindi na ndizi mbivu zake tulii
eee watakuelewa tuHahahaa ndivyo Kasie alivyo... yuko hivyo.
Ha haa halafu sikuhizi naskia NN ameokoka eti... Ooh Bwana ni mwema hakikaweee Vale mbona leo umekuwa mpambe hivyo? hahahaaa leo sina uchokozi na Nyani mwache ajilie mahindi na ndizi mbivu zake tulii
Baada ya maelezo marefu, nafurahi umepona huko ndani na cheko juuNaweza nisiwe mrembo ila huwa napenda vitu visivokolea sana hata chumvi na mafuta kwenye chakula viwe kidogoo.
Si kuwa sipaki kabisa rangi za mwili na mdomo na wanja hapana, ila kama nimepaka basi huwezi kujua au nikaishia kupaka mafuta tuu mwili wote (nnayotumia siku zote) nikaongeza wanja wa chini ya macho na lipshine nimemaliza bila kusahau manukato ya upole.
Confidence mama unayo. Thats what all these pther women lack. Wigs, fake nails, lashes, butts, boobs so forth isnt fashion ni mgongo wa kutaka wawezw kujiamini.Abeee
Confidence mama unayo. Thats what all these pther women lack. Wigs, fake nails, lashes, butts, boobs so forth isnt fashion ni mgongo wa kutaka wawezw kujiamini.
As if alilazimishwa kuivaa. Mtu unakuwa unconfortable kwa outfit uliyochagua mwenyewe kwenye wardrobe out of plenty other options. Very funnyKuna siku nilikuwa naenda kazini asubuhi tuu kutoka kwenye parking hadi ofisini unatembea hatua kadhaa nikakutana na mschana nae anaelekea kazini alikuwa mbele yangu. Kavaa sketi ambayo kwa mimi ile nguo ningeivaa kwenye party za usiku au disco maana ilikuwa urefu wake hadi chini ya goti kidogo ila kitambaa ni kilaini mnoo kile kinachoonesha ndani. Ila ndani kuna kitambaa kidumu ila kifupi hadi mapajani tuu au chini ya makalio.
Kilichonifanya nione hiyo nguo ni ya disco bidada alikuwa kila akipiga hatua anavuta kile kitambaa cha ndani kishuke chini kuonesha kwamba anakereka na kitambaa kile cha ndani kupanda juu. Swali kama nguo inakukera kwanini uivae kwenye hadhira?
Kwa hiyo Hornet we na kipilipili chako..teh teh! Afu ujuwe wengine wakati wa kunjunjana tunapenda kuchezea nywele, sasa ukikutana na msuko au sijui mnaita weave limekaa mwezi hiyo harufu hata mzuka unaondoka ghafla..lolbinafsi nywele za bandia zimenishinda.
usipoweka wanasema siku hizi fulani hajipendi, anashindwa kushonea japo weaving la jojo!
hahaaa.. ukiishi upendavyo katu hutosumbuka na fasheni.
Kwa hiyo Hornet we na kipilipili chako..teh teh! Afu ujuwe wengine wakati wa kunjunjana tunapenda kuchezea nywele, sasa ukikutana na msuko au sijui mnaita weave limekaa mwezi hiyo harufu hata mzuka unaondoka ghafla..lol
I can imagine..lolhapana sina kipilipili nina kaupara fulani hivi..
sasa ukiwa unapenda kuchezea nywele kwangu utachezea upara. hahaaa
mh...ona unavyonijibu kishangingi...yaani ww uchi ndo mtaji c bureUmejuaje... boga lilivyo zuri hivyo hehehehe kwa kizungu si ndo wanaita pumpkin or butter squash....? Heheheh maskini hata hujui kufananisha vizuri na vibaya looh hahahaha.
Haaa haaa owo waituMbona umenyoa manyusi sasa[emoji23] [emoji23] afu kama ndiyo wewe fanya uzae aisei umri umekutupa mkono si muda utaanza kutuma watoto wa wenzio..! Saida kaloli..! Kaisikii iweee deba wazea, ....wange o'takutuma kasikiwe o'wawe o'kanaga (wewe binti umezeeka... mtoto wangu usitume wakwako mimba ulitupa). [emoji41] [emoji41] kasie ujue Mungu anakuona eti hutaki kuolewa.
Otaiwe kaisiki..!Haaa haaa owo waitu