Wanakera kweli watu wa ivyo!!! Unakuta mtu hakununulii ata pipi ya hamsini lakini kazi kukukosoa! Kila mtu na misimamo yake kimaisha... Ukifuata watu wanavyoishi hautasonga mbele. Achana nao Kassie...
YOU ARE THE BEST AT BEING YOU
kumbe hupendi ushauri huwezi kuwa upo sawa kila kitu lakini ujueKabisa yaani hawanisumbui sana ssna wakinikera huwa nawaambia ndivyo nilivyo basi.
Kiukweli a real woman has to b like that. Mi naamini we ni mkamilifu without adding anything kwa mwilini wako k
Si vibaya! Ndo mana inaitwa ushauri... Unaweza ufuata au kutoufuata. Ukiwa na msimamo hutayumbishwa na maneno ya watu! Afu watu wengine wanakosa busara jinsi ya kushauri! Kama huyo dada kamkwaza mwenzake akati ametoka kanisani.
Sio tuu kuwa tofauti nao ni kuwa tuu unakuta nikijaribu kufanya hayo huwa nakosa ujasiri mbele za watu nahisi nikitabasamu wataona kama nimekunja uso nalia au kama nimelamba ndimi hivo kuipa shida akili yangu kuwaza anayenitazama anaona sawa au kituko aaah sasa adhabu yote hiyo ya nini?Na ndivyo unatakiwa uwe ili uweke utofauti na wao
Be you, do you!
Kasinde, nenda hapo kwa Mangi kunywa tani yako nakuja kulipa. Yaani unakuta binti kajaliwa ngozi nyororo ya huu weusi unaong'ara halafu ameiharibu kwa mkorogo kisa naye awe kama wengine. Huwa nasikitika sana!
Heey!! where have you been you you.....
Been around. Waited in vain for your invitation to church.