Ndivyo mapenzi ya leo yalivyo!!!!!!!!!

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
424001_321790651203051_100001163574847_833768_1933198763_n.jpg

Kwani mimba nyingi zinakimbiwa mno huku ngono zikikimbiliwa
 
Kwani tulikubaliana kuzaa au kufanya mapenzi?? Ajabu mtu mwenyewe amekwenda shule walau anaijua vizuri biologia ya mwili wake bila hata kuchukua tahadhari na kunitahadharisha kuwa siku sio nzuri wee unakinga tu what do you expect?? ebu acheni ujinga na msituingize kwenye majukumu ambayo hatujapanga....
 
Kwani wakati wa kile kitendo mtu unaexpect kitu gani chaweza tokea?
 
I go for the sake of leasure..Pleasure&...more flavour girl,i.e sex is all about entertainment...whereas pregnancy=activeness,readyness&compromise..so urn't ready,we dn't compromise dn't come 2m 4preg rather just wllcme 4sex...mmeelewa dadas?
 
Wanategesha ili watunzwe, wengine ili waolewe, hakuna kitu km hicho, lea mwenyewe
 
I go for the sake of leasure..Pleasure&...more flavour girl,i.e sex is all about entertainment...whereas pregnancy=activeness,readyness&compromise..so urn't ready,we dn't compromise dn't come 2m 4preg rather just wllcme 4sex...mmeelewa dadas?

Unavyosema hivyo inaelekea hata Mungu na haya magonjwa ya kisasa huyaogopi
 
Kwani wakati wa kile kitendo mtu unaexpect kitu gani chaweza tokea?

Partly shine amekujibu vizuri lakini pia sipendi kufanya hilo jambo kwa kuanticipate wakati naweza kuzuia hizo posibility ikiwemo hata kuahirisha hilo jambo kama itabidi... cha msingi kila mtu ajitambue na hizi tabia za kuingizana katika familia kwa kuanza kuitwa baba wakati sijajiandaa sipendi na sitaki.
 
Mkirua wewe unidhani unatoa Maji?????????

Kama ni mbegu huna sababu ya kulaumu , maana kama ni hatua MLITAKIWA KUCHUKUA WOTE,Kwani HUIJUI Baolojia Yako?????????
 
Partly shine amekujibu vizuri lakini pia sipendi kufanya hilo jambo kwa kuanticipate wakati naweza kuzuia hizo posibility ikiwemo hata kuahirisha hilo jambo kama itabidi... cha msingi kila mtu ajitambue na hizi tabia za kuingizana katika familia kwa kuanza kuitwa baba wakati sijajiandaa sipendi na sitaki.

Hata wanaozikimbia hawapendi na hawataki ila ikitokea hana budi kukubaliana na hali ya mambo
 
Back
Top Bottom