Ndivyo itakavyokua..!

Mkuu wa kaya na ye wapi jamani?

mkuu wa kaya bhana hakuna kujadili hata yeye anajua akija tu anapata makofi kadhaa alafu mwenyewe bila kuambiwa anajinyookea kiulaiiiiniiii pande za kushoto
 
mliomuita Mungu ... mungu ktk hii thredi wote songeza pande za Kushoto.
 
meku...!
meri chatanda?
blandina nyoni?
lucy nkya tapata feva ya uchaga (kwa mujibu wako)
haji mponda?
 
mkuu wa kaya bhana hakuna kujadili hata yeye anajua akija tu anapata makofi kadhaa alafu mwenyewe bila kuambiwa anajinyookea kiulaiiiiniiii pande za kushoto

:lol::lol::lol::lol:
 
Waziri wa afya ,naibu na katibu wake kushoto cube!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…