Ndivyo itakavyokua..!

>Walokole wote KUSHOTO...
>Mateja wote KULIA....
>Machangudoa wote....mhh..!hawa cjui waende wapi!!!
>Walevi....hapa inahitaji busara kuchagua.
>Wanaoenda kanisani sana lkn hawatoi sadaka KUSHOTO.
>Wabunge wote wa vyama pinzani ...KULIAAAA!
>Torres alikosa magoli cku Chelsea walipocheza na Man u...KUSHOTO,
>Refa aliyempa Drogba na Bosingwa Red card...KUSHOTO,
>Nani mwingne aende kulia or kushoto?
 
Kova?
Ruge?
Kibonde?
Papa musoffe?
 
Refa wa yanga na simba juzi kusho, majeshi ya nato kushoto wale baadhi ya walibia kushoto.
 
Refa wa yanga na simba juzi kusho, majeshi ya nato kushoto wale baadhi ya walibia kushoto.

uko sawa kabisa,
umesababisha nikawakumbuka Al-Quaeda na wote KULIA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…