Ndivyo ilivyo nao wanajua.....

Ndivyo ilivyo nao wanajua.....

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950


Jamaa ametulia, Binti alianza kwa kumpelekea mkono kiunoni, akampiga kisi/busu mdomoni na shingoni, akapeleka mkono kifuani, kisha akachomoa na kuuingiza mfuko wa nyuma ulikuwa na "wallet" akachomoa akampa jamaa, akamsifia "duh, oh dear...you are so sweet and have a lot we can spend today, ooh but do you really love me!!!? "" Jamaa akatikisa kichwa "oh YES" why why not!!" kisha akaagiza ule "mzinga" unawekwaga na mabarafu kwenye Kindoo kidogo akaomba na akaomba papo hapo "room service please" haoooo wakaelekea kwenda kubanguana!!!

Kilichotokea huko....... " HAPPY NEW YEAR, 2013 "
attachment.php


 

Attachments

  • CD.jpg
    CD.jpg
    75 KB · Views: 847

Similar Discussions

Back
Top Bottom