Ndio tuseme TEC hawatashiriki tena shughuli za Serikali?

Baada ya waraka wa maskofu kupingwa vikali na makundi ya dini wasio na elimu ya kutosha ambao ndio watu wengi mno wanaopatikana ktk taifa hili

Hoja
Nimeona makundi ya kidini wasio na elimu kubwa wakipinga waraka wa wasomi kwa hoja dhaifu isiyo na mashiko yoyote, inashangaza kuona hata kamtu hajamaliza fom four au ama Ni fom four failure nae anahitisha mkutano na kuanza kuwaropokea maskofu wasomi

Je maskofu au kanisa katoliki litajitenga na shughuli za kiserekali ? Tunafahamu ya kuwa Mara nyingi Sana serekali haifanyi shughuli kubwa Bila kuwajumuisha maskofuu Hawa je Sasa HV itakuaje kwa shughuli za serekali

Nimeona KKKT na Anglican wakijikomba komba kwa serekali sijui wanatafuta nini au wanataka nao kanisa lao litoe rais siku zijazo.

Mwisho
Mimi siyo mkatoliki ila naunga mkono waraka wao na niko nao bega kwa bega hadi mwisho

Wasomi wasikilizwe
Ova
Kwa maana TEC kutoa tamko la bandari ndio wamejimaliza wenyewe.Makundi mengjine ya kidini yameshtuka sana.
 
Wana elimu gani iliyosaidia nchi, maana kila posti inasema wana phd, ni phd za nini?, inakuwaje hizo phd hazijengi vyoo vya mashule bado tunaomba msaada
Kwa sababu akili yako imeona choo tu wacha twende hivyo hivyo !
Umewahi kufika kwenye institution yoyote ya RC iwe shule,hospitali,kanisa e.t.c ukakuta hakuna choo?....umewahi kusikia wanaomba msaada wa kujengewa choo?...haya vipi kuhusu upande wa pili?..
 
Au wameomba chuo kikuu Kama wale waliomba chuo kikuu,na wakapewa chuo kilichokuwa Cha tanesco morogoro.
 
Kwa sababu akili yako imeona choo tu wacha twende hivyo hivyo !
Umewahi kufika kwenye institution yoyote ya RC iwe shule,hospitali,kanisa e.t.c ukakuta hakuna choo?....umewahi kusikia wanaomba msaada wa kujengewa choo?...haya vipi kuhusu upande wa pili?..
Hahahahaha jmn watanzania Ni wajing sna Hadi wakt mwingine naongopa

Ona Sasa huyo alieongelea maswla ya choo
 
Wana elimu gani iliyosaidia nchi, maana kila posti inasema wana phd, ni phd za nini?, inakuwaje hizo phd hazijengi vyoo vya mashule bado tunaomba msaada
Wewe ni Mjinga, PhD zenu hizo za viongozi wa Serikali ndio hazijasaidia kitu. Za waroman zimesaidia sana kuendeleza Taasisi zao.
 
Wana elimu gani iliyosaidia nchi, maana kila posti inasema wana phd, ni phd za nini?, inakuwaje hizo phd hazijengi vyoo vya mashule bado tunaomba msaada
Manyoko. Hayo mashule na hospitali walizojenga ni nini?
 
''Kuna watu wamesoma lakini hata hawana akili", baba yangu (2003).

Miaka 20 baadae nathibitisha maneno yake.

Shoo amewaonyesha 'show' la kiusomi kwa dakika chache tu, sasa vikaragosi wao wamebaki kutapatapa tu humu jf. Hakuna la maana la kusema zaidi ya kutaja PhD tu basi na kujimwambafai mambo mengine ya kijingajinga muda wote.........

Msomi habishani hovyohovyo!
Msomi hajikwezi unnecessarily, eti 'sisi tuna mizizi hadi kwenye kaya zote nchi yote hii'. Pumbaaaaf!!!
Msomi hawi kigeugeu na mkurupukaji.

Kumbe lowassa na sumaye ni kkkt ee?!!! Naona kama kuna kitu cha kukifanyia utafiti hapa.......unaweza kuja kugundua jambo!!
Huyo Shoo ni , opportunitist, anasema anaunga mkono uwekezeji, (ni mjinga tu ndiye hawezi unga mkono uwekezaji).

Ila niambie kuhusu uwekezaji wa Bandari zote za Tanganyika huyo kupewa DP World huyo Show ameonyesha anasubiri marekebisho, (ambayo wenzake TEC wameona hayafanyiwi kazi).

Anasubiri bandari zizame?
Ndiyo aongee?!

Kwa hivyo DP world wakigomea kuziendeleza ila wakakataa tusiziguse zote, wao DP waka concentrate Kenya or Mozambique, sisi tunajinasuaje?

Tanzania wenye akili ni wako upande mwingine kabisa. Wanaitwa wapinzani.
 
Baada ya waraka wa maskofu kupingwa vikali na makundi ya dini wasio na elimu ya kutosha ambao ndio watu wengi mno wanaopatikana ktk taifa hili kongwe barani Africa.

Hoja
Nimeona makundi ya kidini wasio na elimu kubwa wakipinga waraka wa wasomi kwa hoja dhaifu isiyo na mashiko yoyote, inashangaza kuona hata kamtu hajamaliza fom four au ama Ni fom four failure nae anahitisha mkutano na kuanza kuwaropokea maskofu wasomi

Je maskofu au kanisa katoliki litajitenga na shughuli za kiserekali ? Tunafahamu ya kuwa Mara nyingi Sana serekali haifanyi shughuli kubwa Bila kuwajumuisha maskofuu Hawa je Sasa HV itakuaje kwa shughuli za serekali

Nimeona KKKT na Anglican wakijikomba komba kwa serekali sijui wanatafuta nini au wanataka nao kanisa lao litoe rais siku zijazo.

Mwisho
Mimi siyo mkatoliki ila naunga mkono waraka wao na niko nao bega kwa bega hadi mwisho

Wasomi wasikilizwe
Ova
Hivi kwani Serikali imeshaujibu waraka wa TEC? Kama Serikali hawajajibu, TEC watachukuaje hatua kubwa na kali namna hiyo?

TEC ni chombo kikubwa mno, NEXT TO SERIKALI. Nawashauri hata watu wanaoikosoa TEC au kuoingana nayo, waikosoe na kuipinga kwa staha

Hata hivyo katika hili, mimi niko upande wa Serikali ila siwezi kuanza kudadavua hoja za TEC.
TEC ni chombo kikubwa mno
 
Wana elimu gani iliyosaidia nchi, maana kila posti inasema wana phd, ni phd za nini?, inakuwaje hizo phd hazijengi vyoo vya mashule bado tunaomba msaada
Kuna taasisi ambayo imetoa huduma za kijamii kuliko Katoriki?
Wamejenga mahospitali, shule, vyuo, vituo vya kulelea watoto yatima?
Mpaka leo wanatoa huduma hizi, nyingine wana share na Serikali kuziendesha!
Sasa unataka hata matundu ya vyoo vya shule wakujengee?🤔🤔
 
Kwa ufupi mukome KULAZIMISHA makanisa yasiyo RC, hasa KKKT kuunga mkono waraka wa TEC. Mukome kumshambulia kiongozi wa KKKT Dr. F.Shoo.
Musituchokoze tukataja vitendo vya mapadre na maaskofu was RC walioko jela huko Marekani( USA), Ireland, Australia, Chile n.k.
 
Baada ya waraka wa maskofu kupingwa vikali na makundi ya dini wasio na elimu ya kutosha ambao ndio watu wengi mno wanaopatikana ktk taifa hili kongwe barani Africa.

Hoja
Nimeona makundi ya kidini wasio na elimu kubwa wakipinga waraka wa wasomi kwa hoja dhaifu isiyo na mashiko yoyote, inashangaza kuona hata kamtu hajamaliza fom four au ama Ni fom four failure nae anahitisha mkutano na kuanza kuwaropokea maskofu wasomi

Je maskofu au kanisa katoliki litajitenga na shughuli za kiserekali ? Tunafahamu ya kuwa Mara nyingi Sana serekali haifanyi shughuli kubwa Bila kuwajumuisha maskofuu Hawa je Sasa HV itakuaje kwa shughuli za serekali

Nimeona KKKT na Anglican wakijikomba komba kwa serekali sijui wanatafuta nini au wanataka nao kanisa lao litoe rais siku zijazo.

Mwisho
Mimi siyo mkatoliki ila naunga mkono waraka wao na niko nao bega kwa bega hadi mwisho

Wasomi wasikilizwe
Ova
Kutokuwa na elimu unamaanisha nini?

Au unafikiri kusoma ndiyo kuelemika? Kuna kujazwa ujinga kama waliojazwa hao maaskofu. Mpaka wanazeeka mijongoo haipandi mtungi na kale kamchezo pendwa ka vatikano walich9nacho, usikasahau.

Sasa huko ndiyo kuelimika au kujazwa ujinga?
 
Back
Top Bottom