Ndio tuseme TEC hawatashiriki tena shughuli za Serikali?

Ndio tuseme TEC hawatashiriki tena shughuli za Serikali?

Hata Mimi siyo mkatoliki ni mlutheran wakawaida ila pia mfuasi wa JW Na kiukweli misimamo ye Jw ni kutoshabikia mambo ya siasa yoyote ila kwa hili naunga mkono waraka wao TEC na niko nao bega kwa begA
Asnte mkuu [emoji120]
 
''Kuna watu wamesoma lakini hata hawana akili", baba yangu (2003).

Miaka 20 baadae nathibitisha maneno yake.

Shoo amewaonyesha 'show' la kiusomi kwa dakika chache tu, sasa vikaragosi wao wamebaki kutapatapa tu humu jf. Hakuna la maana la kusema zaidi ya kutaja PhD tu basi na kujimwambafai mambo mengine ya kijingajinga muda wote.........

Msomi habishani hovyohovyo!
Msomi hajikwezi unnecessarily, eti 'sisi tuna mizizi hadi kwenye kaya zote nchi yote hii'. Pumbaaaaf!!!
Msomi hawi kigeugeu na mkurupukaji.


Kumbe lowassa na sumaye ni kkkt ee?!!! Naona kama kuna kitu cha kukifanyia utafiti hapa.......unaweza kuja kugundua jambo!!
Na wee una akili Kweli au ndio wew ulienda kusomea ujinga shuleni
 
Kwani ni mara ya kwanza TEC kutoa waraka kama huu? Mfano, mwaka 1953 Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanganyika walitoa waraka unaoitwa "Africans and the Christian Way of Life" Mwaka 1972 walitoa waraka unaoitwa "Peace and Mutual Understanding". Mwaka 1993 walitoa waraka unaoitwa "Good Conscience, Vision and Our Nation". Na nyaraka zote hizo walikuwa wakikosoa mambo fulani, lakini kila mwaka wameendelea kutoa nyaraka hizi. Hata manabii na mitume walihubiri neno la Mungu enzi hizo, leo hawapo, lakini neno la Mungu bado lipo. Kanisa likikosoa jambo fulani siyo kwamba limesema kila jambo ni baya na hivyo linajitenga na mamlaka ya nchi hapana. Kukosoa ni kwamba what is 'bad can be made good; good can be made better na better can be made best'. Katika watu wengi ni wazi kwamba kuna watu watasifia jambo fulani na wengine watakosoa na kusifia au kukosoa hakuna maana kwamba kuna mtu mwema na mbaya maana msifiaji anaweza kuwa mbaya na mkosoaji kuwa mwema au msifiaji kuwa mwema na mkosoaji kuwa mbaya. It all depends on the intention behind kusifia au kukosoa.
I wish wangekah kando na serekali kbsa
 
Shoo ni mnafiki tu. Tabia ya unafiki huzaa kujipendekeza kisha ukistukiwa ni mauti tu yatafata [emoji1787]! Huwezi kujifanya unafurahia uhuni ili uonekane mwema kwa muhuni. Shetani hana rafiki.
Sahih kabs bwan extroo...

Show ameonesha unafiki mkubwa mno nahisi Ni kujikomba komba tu ila nimemchukia San kwa jins alivyo jieleza mbele ya rais
 
Sasa wapi maaskofu wamepinga ovyo .ule waraka kuna mahali unatukana ? Shoo pale alitumia busara ya form 2 tu huwezi ongea mambo magumu wakati mtu amekuheshimu kuja maadhimisho.ww mwanao akipata div 0 Kisha ukaenda kwenye birthday yake utaanza mkemea?
Broo umeongea point kubwa mno

[emoji120][emoji120]
 
Sahih kabs bwan extroo...

Show ameonesha unafiki mkubwa mno nahisi Ni kujikomba komba tu ila nimemchukia San kwa jins alivyo jieleza mbele ya rais
He was supposed to have balls to express himself. Yesu aliwafia watu sababu ya imani ila mchungaji hayupo tayari kufa kwa anachokiamini.
 
Ww mwanao aliepata div 0 ukamwita pembeni ukamsema kesho yake akikuita kwenye birthday yake .kwenye hotuba yako utaanza nyooka juu ya kufeli kwake
Sahh kbsa unamchana live live bila chenga
 
Asilimia yote ya watu wanaounga mkono waraka wanafanya hivyo kwa sababu za kiimani tu kwa vile 'thinking is prohibited'.
Kbsa kabsa naumia sna tumeshindwa kushikamana juu ya mkatba huu

Nani wakutusadiaa jmn
 
Ni kanisa langu nawaheshimu sana viongozi wangu na wajumbe wa TEC lakini kwa hili la waraka wameonyesha unafiki wa kiwango cha juu sana, mbona wenzetu KKKT waliwasilisha maoni yao kwa kutumia busara bila kelele na migongano?!

Nawashauri wazee wangu wa TEC wasirudie tena utaratibu huu walio utumia haswa kwenye mambo yanayo weza kuibua hisia na migongano kwenye jamii.
Sasa tunaonekana kama wanafiki wenye lengo la kuipasua jamii badala ya kujenga umoja na mshikamano wa taifa letu.
Tec wameonesha unafiki gani ,tangu lini wasomi wakawa wanafika

Tec wamekuwa nyeupe nyeupe

Jmn wasikilizwe
 
TEC ndio wezi kwenye bandari yetu hasa kupitia CARITAS.
TEC sio kiranja wa makundi mengine kwa nini muone wengine hawana akili. Kusoma sana ni sawa tu na kulewa sana pombe. Sio tafsiri ya kuwa ndio watendaji wazuri. Kimsingi waliofanikiwa kimaisha sio waliosoma au wakristu peke yao.
Tamko sawa ila ni ujinga kulitoa wakati kuna msuguano unaendelea. Huo sio msingi wa kanisa.
Mimi ni mkatoliki lakini nimeupinga waraka kwa sababu ni wa KIBAGUZI.
TEC kemea mapadre wanaoambukiza mabinti UKIMWI na wengine kulawiti watoto.
Huna lolote kichwani acha kuwapuuza wasomi

Umekimbilia maukimwi tena
 
Umemsikiliza vizuri au umekimbilia keyboard.
KKKT bado wanasubiri mrejesho wa mapendekezo / marekebisho ya mkataba wa DP World.

KKKT kupitia CCT,BAKWATA & TEC walishaonana na Rais na walishatoa hoja zao kuhusu mkataba DP World.Bado wana imani hoja zao zinafanyiwa kazi.

KKKT inaunga mkono uwekezaji wenye tija.KKKT wanataka marekebisho katika mkataba wa DP World.

Kwa maoni yangu Dr Shoo yupo sahihi na TEC wapo sahihi. Tofauti ipo katika njia walizochagua kupita lakini lengo bado ni moja.
Sawa kbsa bwana ngongo

Wacha tuwe na subira tuone watafanya nin
 
Sasa ndiyo umeandika nini hapa! Yaani unauliza PhD za Maaskofu wa Katoliki ni za nini? Eti inakuwaje hizo PhD hazijengi vyoo vya mashule!! Kuna uhusiano wowote kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah jamaa wewe umenifurahisha asbh

Jamaa ameandiaka pumba tupu
 
Back
Top Bottom