Ndio tuseme TEC hawatashiriki tena shughuli za Serikali?

Ndio tuseme TEC hawatashiriki tena shughuli za Serikali?

Huu waraka, jinsi unavyozidi kujadiliwa ndivyo unazidi kupata umaarufu. Halafu TEC wenyewe wala hawajibizani na mtu, wametoa waraka wao, wametulia. Watu sasa, hata waliokuwa mafichoni wanaibuka. Ndio ujue jinsi gani waraka una nguvu.
Kuna mmoja nimeona anasema, "TEC wametoa waraka, na sisi hatukubali tutadai haki zetu" nikajiuliza waraka wa TEC unahusiana vipi na watu wa imani nyingine kudai haki zao, wakati waraka unazingumzia bandari na wala haujapinga imani za watu wengine? Hongereni TEC, mmezidi kujijengea heshima. Wakubali, wakatae lakini huo ndio ukweli.
 
Kwa ufupi mukome KULAZIMISHA makanisa yasiyo RC, hasa KKKT kuunga mkono waraka wa TEC. Mukome kumshambulia kiongozi wa KKKT Dr. F.Shoo.
Musituchokoze tukataja vitendo vya mapadre na maaskofu was RC walioko jela huko Marekani( USA), Ireland, Australia, Chile n.k.
Swala la mtu kuwa jela kwa ishu za kulawiti watoto na mengine haizui wao kutoa waraka juu ya upuuzi wa serekali ya Samia inaokwemda Kama kichwa Cha mwenda wazimu

Mm nasema tec Wana hoja nzito snaa
Wasikilizwe
 
Huu waraka, jinsi unavyozidi kujadiliwa ndivyo unazidi kupata umaarufu. Halafu TEC wenyewe wala hawajibizani na mtu, wametoa waraka wao, wametulia. Watu sasa, hata waliokuwa mafichoni wanaibuka. Ndio ujue jinsi gani waraka una nguvu.
Kuna mmoja nimeona anasema, "TEC wametoa waraka, na sisi hatukubali tutadai haki zetu" nikajiuliza waraka wa TEC unahusiana vipi na watu wa imani nyingine kudai haki zao, wakati waraka unazingumzia bandari na wala haujapinga imani za watu wengine? Hongereni TEC, mmezidi kujijengea heshima. Wakubali, wakatae lakini huo ndio ukweli.
Sahih kbsaa
 
Swala la mtu kuwa jela kwa ishu za kulawiti watoto na mengine haizui wao kutoa waraka juu ya upuuzi wa serekali ya Samia inaokwemda Kama kichwa Cha mwenda wazimu

Mm nasema tec Wana hoja nzito snaa
Wasikilizwe
Unazungumzia HAKI ya TEC kutoa waraka wao, ambapo uzi wangu unahusu wewe na baadhi ya wachangiaji wa uzi wako kuishutumu KKKT na kiongozi wao Dr.Frederick Shoo kutounga waraka wa TEC mbele ya raisi wa Tz mhe. Samia S. Hasan alipokuwa mgeni rasmi wa KKKT katika jubilee yao siku moja tu baada ya waraka wa TEC kusomwa katika makanisa yao yote.
Sikutaja matendo ya mapadre wa RC walioko jela huko USA na nchi nyingine kwa kuwastahi, lakini wewe unayataje!
 
SAS Ni shutuma gani inawakabili .makasis wa kanisa katoliki Kama siyo hyo ya kulawiti watoto wadogo hzo tuhuma dhid yao nimesikia sikia nikiwa na miaka 10 Hadi leo zipo hzo kesi zao

Sasa wewe unaona aibu

Ni kwamba jamaa wako smart sna kuliko hao wachungaji wetu wa kkkt venye elimu za kugushi

Wengi wa wachungaji wetu wa kkkt hawa hata kadegree kimoja na wainjilisti ndio usipime hakuna mweny hata diploma achalilia mbali fom four Nzuri

Nazungumza hayo Nina ushahidi wa kutosha
 
Baada ya waraka wa maskofu kupingwa vikali na makundi ya dini wasio na elimu ya kutosha ambao ndio watu wengi mno wanaopatikana ktk taifa hili kongwe barani Africa.

Hoja
Nimeona makundi ya kidini wasio na elimu kubwa wakipinga waraka wa wasomi kwa hoja dhaifu isiyo na mashiko yoyote, inashangaza kuona hata kamtu hajamaliza fom four au ama Ni fom four failure nae anahitisha mkutano na kuanza kuwaropokea maskofu wasomi

Je maskofu au kanisa katoliki litajitenga na shughuli za kiserekali ? Tunafahamu ya kuwa Mara nyingi Sana serekali haifanyi shughuli kubwa Bila kuwajumuisha maskofuu Hawa je Sasa HV itakuaje kwa shughuli za serekali

Nimeona KKKT na Anglican wakijikomba komba kwa serekali sijui wanatafuta nini au wanataka nao kanisa lao litoe rais siku zijazo.

Mwisho
Mimi siyo mkatoliki ila naunga mkono waraka wao na niko nao bega kwa bega hadi mwisho

Wasomi wasikilizwe
Ova
Watajua wao ila wakome kuleta uchochezi na Kuligawa Taifa Kwa kuchochea udini.
 
Shoo alisema yakuwa viongozi wote wa dini walienda ikulu wakakosa mkataba nakuitaka serikali ifanyie malekebisho,ajabu mapadiri wamezuka na waraka wa kupinga yale walio iagiza serikali kuyatimiza ndio maana baba mtakatifu shooo hakutaka kulamba matapishi yake mapadiri kama wangekuwa wanasukumwa na hizo Phd zao wasinge kubali kuenda ikulu na kujumuika na hao unao sema hawajasoma wange kataaa wanabakia na msimamo wao wa waraka hao ndio wahuni wanao sukumwa na matumbo yao
 
''Kuna watu wamesoma lakini hata hawana akili", baba yangu (2003).

Miaka 20 baadae nathibitisha maneno yake.

Shoo amewaonyesha 'show' la kiusomi kwa dakika chache tu, sasa vikaragosi wao wamebaki kutapatapa tu humu jf. Hakuna la maana la kusema zaidi ya kutaja PhD tu basi na kujimwambafai mambo mengine ya kijingajinga muda wote.........

Msomi habishani hovyohovyo!
Msomi hajikwezi unnecessarily, eti 'sisi tuna mizizi hadi kwenye kaya zote nchi yote hii'. Pumbaaaaf!!!
Msomi hawi kigeugeu na mkurupukaji.

Kumbe lowassa na sumaye ni kkkt ee?!!! Naona kama kuna kitu cha kukifanyia utafiti hapa.......unaweza kuja kugundua jambo!!
Msomi hawe kigeugeu,kweli hawa wenye Phd sindio walioongoza kikao pamoja na bakwata na kumtaka raisi abadilishe vipengele via mkataba vivio faaa leo wanazuka kupinga maagano yao,nampiga saruti baba mtakatifu shooo kwa kukataa unafiq huo shikamoo mtumishi shoo asikofu usie yumba
 
Naona wala vumbi, mmeng'aka na kuwatetea wabakaji wa watoto wenye phd za upupu
Nchi choka mbaya, wananchi maskini wa kutupwa mpaka leo eti bado kuna kipindupindu, halafu wanasifiwa wana phd, zipi za 🌈?
Endeleeni kula vumbi
 
Mihimili ya Serikali iko mitatu:

1. BARAZA/EXECUTIVE

2. BUNGE na

3. MAHAKAMA.

TEC sio muhimili wa Serikali.
 
Naona wala vumbi, mmeng'aka na kuwatetea wabakaji wa watoto wenye phd za upupu
Nchi choka mbaya, wananchi maskini wa kutupwa mpaka leo eti bado kuna kipindupindu, halafu wanasifiwa wana phd, zipi za [emoji304]?
Endeleeni kula vumbi
Unafikiri Phd ni matako kila mtu anayo sio?....
Wewe ni mbumbumbu .....ila usijali haupo peke yako mpo wengi tu.
 
Back
Top Bottom