Ndio tuseme TEC hawatashiriki tena shughuli za Serikali?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,676
Reaction score
18,577
Baada ya waraka wa maskofu kupingwa vikali na makundi ya dini wasio na elimu ya kutosha ambao ndio watu wengi mno wanaopatikana ktk taifa hili kongwe barani Africa.

Hoja
Nimeona makundi ya kidini wasio na elimu kubwa wakipinga waraka wa wasomi kwa hoja dhaifu isiyo na mashiko yoyote, inashangaza kuona hata kamtu hajamaliza fom four au ama Ni fom four failure nae anahitisha mkutano na kuanza kuwaropokea maskofu wasomi

Je maskofu au kanisa katoliki litajitenga na shughuli za kiserekali ? Tunafahamu ya kuwa Mara nyingi Sana serekali haifanyi shughuli kubwa Bila kuwajumuisha maskofuu Hawa je Sasa HV itakuaje kwa shughuli za serekali

Nimeona KKKT na Anglican wakijikomba komba kwa serekali sijui wanatafuta nini au wanataka nao kanisa lao litoe rais siku zijazo.

Mwisho

Mimi siyo mkatoliki ila naunga mkono waraka wao na niko nao bega kwa bega hadi mwisho

Wasomi wasikilizwe
Ova
 
Baada ya waraka wa maskofu kupingwa vikali na makundi ya dini wasio na elimu ya kutosha ambao ndio watu wengi mno wanaopatikana ktk taifa hili

Watashiriki vizuri tu huku waraka ukiendelea kuchanja mbuga kwa majuma sita mfululizo
 
''Kuna watu wamesoma lakini hata hawana akili", baba yangu (2003).

Miaka 20 baadae nathibitisha maneno yake.

Shoo amewaonyesha 'show' la kiusomi kwa dakika chache tu, sasa vikaragosi wao wamebaki kutapatapa tu humu jf. Hakuna la maana la kusema zaidi ya kutaja PhD tu basi na kujimwambafai mambo mengine ya kijingajinga muda wote.........

Msomi habishani hovyohovyo!
Msomi hajikwezi unnecessarily, eti 'sisi tuna mizizi hadi kwenye kaya zote nchi yote hii'. Pumbaaaaf!!!
Msomi hawi kigeugeu na mkurupukaji.

Kumbe lowassa na sumaye ni kkkt ee?!!! Naona kama kuna kitu cha kukifanyia utafiti hapa.......unaweza kuja kugundua jambo!!
 
Kwani ni mara ya kwanza TEC kutoa waraka kama huu? Mfano, mwaka 1953 Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanganyika walitoa waraka unaoitwa "Africans and the Christian Way of Life" Mwaka 1972 walitoa waraka unaoitwa "Peace and Mutual Understanding". Mwaka 1993 walitoa waraka unaoitwa "Good Conscience, Vision and Our Nation". Na nyaraka zote hizo walikuwa wakikosoa mambo fulani, lakini kila mwaka wameendelea kutoa nyaraka hizi. Hata manabii na mitume walihubiri neno la Mungu enzi hizo, leo hawapo, lakini neno la Mungu bado lipo. Kanisa likikosoa jambo fulani siyo kwamba limesema kila jambo ni baya na hivyo linajitenga na mamlaka ya nchi hapana. Kukosoa ni kwamba what is 'bad can be made good; good can be made better na better can be made best'. Katika watu wengi ni wazi kwamba kuna watu watasifia jambo fulani na wengine watakosoa na kusifia au kukosoa hakuna maana kwamba kuna mtu mwema na mbaya maana msifiaji anaweza kuwa mbaya na mkosoaji kuwa mwema au msifiaji kuwa mwema na mkosoaji kuwa mbaya. It all depends on the intention behind kusifia au kukosoa.
 
Asilimia kubwa ya waru wanaopinga waraka WA Maaskofu, hawajui wanachopingia wao wanafuata mkumbo Tu 🥴
''Kuna watu wamesoma lakini hata hawana akili", baba yangu (2003).

Miaka 20 baadae nathibitisha maneno yake.

Shoo amewaonyesha 'show' la kiusomi kwa dakika chache tu, sasa vikaragosi wao wamebaki kutapatapa tu humu jf. Hakuna la maana la kusema zaidi ya kutaja PhD tu basi na kujimwambafai mambo mengine ya kijingajinga muda wote.........

Msomi habishani hovyohovyo!
Msomi hajikwezi unnecessarily, eti 'sisi tuna mizizi hadi kwenye kaya zote nchi yote hii'. Pumbaaaaf!!!
Msomi hawi kigeugeu na mkurupukaji.

Kumbe lowassa na sumaye ni kkkt ee?!!! Naona kama kuna kitu cha kukifanyia utafiti hapa.......unaweza kuja kugundua jambo!!
Kwa hiyo hujui kuwa shoo anapinga mkataba huo wa dpw .ila anasapot uwekezaji kwa ujumla.
 
Najua vizuri tu, na hapo ndipo ilipo hoja yangu. Angalia hekma iliyopo katika 'kupinga' kwake na uovyo wa upingaji wa hao wengine (nyinyi). Aliyeelimika kweli ameonekana!!!!
Sasa wapi maaskofu wamepinga ovyo .ule waraka kuna mahali unatukana ? Shoo pale alitumia busara ya form 2 tu huwezi ongea mambo magumu wakati mtu amekuheshimu kuja maadhimisho.ww mwanao akipata div 0 Kisha ukaenda kwenye birthday yake utaanza mkemea?
 
Alitakiwa anyooshe maelezo. Binafsi sikubaliani na mkataba na nilitegemea naye angenyoosha maelezo kama kidume rijali ila kaanza mizunguko mingi bila sababu
Ww mwanao aliepata div 0 ukamwita pembeni ukamsema kesho yake akikuita kwenye birthday yake .kwenye hotuba yako utaanza nyooka juu ya kufeli kwake
 
Kwanza kabisa mwanangu kupata division 0 hilo haliwezekani hata asiposoma vizuri kabisa. 😀

Kingine matokeo yake hayahusiani na birthday. Walipokosea wao ni kutaka kutoa hayo maoni yao siku ya uzinduzi. Walitakiwa waandike spana zao baada ya uzinduzi.
 
Back
Top Bottom