Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Aaggrrhh...inaudhi sana wakuu nimepita hapa maeneo ya mwenge kuna vitu nimeona ikabidi nianze kujihoji maswali mwenyewe bila kupata majibu ila nikaona sio mbaya majibu ya vitu hivi tuyatafute sote.
Yani kuna mtaa hapa wanawake ni mapaja wameanika nje halafu kuna jamaa wanawasugua na wanawake wenyewe nilivyowaona wapo kwenye hisia za hali ya juu kuna mwingine kavaa pete ya ndoa kabisa na kachanua mapaja yanaminywa minywa tena kafunga mpaka macho kwa hisia"paja ni kiungo cha siri" (sehemu sensitive haswaa)
Akiya mungu mke wangu simruhusu huu ujinga acha nitamsugua mwenyewe mbona mama zetu hawakufanya huu upuuzi?namkumbuka mama yangu alivyokuwa akikata kucha zake kwa wembe tena wakati mwingine mzee alikuwa akimkata lazima niwaige wazee wa zamani kwa niliyoyashuhudia hapa mwenge.
Hali ile ni ya hatari pale kwa haraka haraka vile vijamaa vitakuwa vinakanyaga wake/mademu wa watu kwa kuwatia genye kijinga jinga tu"ndio maana waarabu hawataki huu uhayawani"
Nashauri tusikubali huu ujinga kama hawa wanawake wanataka kwenda kusuguliwa miguu yao na kukatwa kucha ni vema wasuguane kwenye saluni ambazo wanawake wanafanya kazi hiyo wenyewe zaidi ya hapo ni wizi mtupu.
Swali kwa wanaume: Unamruhusu mkeo/ mpenzi wako kwenda kupata huduma hii? Swali kwa wanawake: Kuna kitu gani special kwenda kusafishwa miguu badala ya kujisafisha mwenyewe nyumbani?
Natarajia paniki kwa wanawake wanaoendekeza huu ujinga wa kuzalilisha miili yao tena adharani na kuona ni sehemu ya uadilifu, ila ukweli siku zote najuwa unauma.