Ndio nimekoma sirudii tena

hapo ndo mapenzi yanakolea mkuu... yaan kufanya mapenzi kwa stress raha sana..!
 
Nimecheka mpaka machozi yametoka, siku nyingine mbebe kwenye tuktuk yako kama vile nnaenda kichakani kisha vuta mafuta mpaka ghetto kwako ukajilie kwa raha zako.
 
Alikua na shanga mkuu? Safi sana imetulia io, hop ulienjoy
 
jiongeze kidogo mfanyie uchunguzi huo mchepuko wako unafahamiana na hao askari mpaka ukakutoa wasiwasi kuwa hao wapo kwenye doria ya magendo usiwe na wasiwasi, alafu ameng'ang'ania muendelee kufanya hapohapo haujiulizi tu kwa sababu gani ni hapo tu na si mwingine?

ila yote hayo ni faida maana una mke na unakimbilia kwa mchepuko sijui ulioa kwa kulazimishwa?
 
Dah nitajaribu kufanya hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…