Ndio nimekoma sirudii tena

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,421
Reaction score
864
Amani kwa wote
Baada ya misukosuko yangu ya ndoa nimeamua kupata nyumba ndogo ya kunituliza manyago kama wadau wengi walivyonishauri,ila naona kama bado mashaka yanaendelea

Huyu bibie niliempata hapendi gharama mpaka namshangaa kwa sababu eneo wanaloishi ni eneo la makazi mapya ndio watu wanaanza kujenga hivyo bado kuna vichaka vya nguvu

Pili hataki nimfuate mapema tutafute hotel ya kupumzika yeye anataka habari zote ziishie kule kwenye vichaka,sasa kutokana hii ni karne ya ishirini na moja na mimi naogopa cobra nimekubali nitafanye na kitu mnato
Mimi kila nikifika huwa namchukua na bodaboda langu mpaka kiwanja cha shule kuna goli moja ndio tunakaa pale na kumaliza habari zetu,sasa juzi wakati nipo katikati ya mauno,nilisikia mungurumo wa gari lakini nikaupuuza kulingana na sukari mdomoni
Kutokana na ile boda boda nimesimamisha ikaonekana na mwanga wa taa ile gari ikapita sikuisikia tena nilimshitua bibie akasema aah hao ni askari wa patrol wanaangalia watu wa magendo

Dah nikiendelea kuvuta kasi ghafla nikasikia usichomoe ganda hivyo hivyo na reo tumekukamata ugoni na kufanya matusi hadharani,dah kama niliemwagiwa maji nikaona difenda limekuja kasi askari wengine wakashuka wakaanza kupandisha pikipiki,mwanamke akaamrishwa avae nguo na mimi nisivae,kuna mmoja anasema eehe ridada rinamashanga mengi na ridume rinakata viuno kama paka chongo

Kutoka pale ikawa sasa naomba msamaha wanisamehe nikasikia mmoja nafikiri ni mkubwa wao tumpeleke kituoni,nikahisi kadhia nilikua na hesabu ya siku mbili kama elf 70 ikabidi niwaachie wale askari ndio wakatuachia kwa masharti tusirudie mchezo ule
Jamani kwa kadhia iliyonikuta nimekoma na kama kuna wenzangu msifanye
Sema linalonisumbua kichwani ni huyu bibie hataki gest nifanyeje wadau
Ni ushauri tu
 
Kulikimbia tatizo sio suluhisho
 
ukome tu uzinzi ni dhambi nenda kayajenge na mwenzio .. silaha kubwa ya ndoa nii mazungumzo, upedo ,utii, na kuchukuliana sasa wewe badala ya kusolve kule unatafuta mwanamke mwingine ambaye baada ya muda na yeye anaweza geuka tatizo katika maisha yako,.......mkuu sali sana achana na uzinzi ona sasa umepoteza elfu sabini kisa bao moja... japo ya vichakani ni tamu
 
Haya ndiyo madhara ya kukimbilia ndoa wakati umri bado. Hata cha kufanya hujui unakuja kuuliza mtandaoni? Na una familia inayoamini ndani tuna baba?

Manina.
 
Nashukuru kwa ushauri wa nguvu miss chagga
 
Haya ndiyo madhara ya kukimbilia ndoa wakati umri bado. Hata cha kufanya hujui unakuja kuuliza mtandaoni? Na una familia inayoamini ndani tuna baba?

Manina.
Nikikaa nayo peke yangu yataniua
 
bahati mbaya tu hiyo mwanangu
 
mambo ya lovr in the wild, kwani umekuwa ngedere mkuu hadi uende kugegedana vichakani?
 
Mada nzima nimependa hapo kuwa eti [HASHTAG]#LIJIMAMA[/HASHTAG] LINA MISHANGA#
HAhahahahahahaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…