Ndio natoka Polisi muda huu. Nashukuru Ujumbe umefika

Cijaona kosa alilofanya,alijaribu kutoa maoni yake hakukua na sababu ya kumuattack,alafu mateja hawapo normal akilizao smtmes nusu uchizi nusu mzima,Apo mkuu ulijiaribia siku na kupoteza mda sure.
 
Sikulaumu... Wewe hutakuwa na malezi mazuri.either uliachiwa laana au ndo hivyo tena mitaani walishakugeuza uwe hali hiyo na ndo maana unawakosea heshima wanawake.

Kwasababu wewe ni mama lazima utetee haki za wamama wenzako. Hiyo ni natural instinct.
 
Siyo teja kama mateja hawa unaowafahamu. Ni akili zake kama teja. Mtu anayemsifia Kikwete huyo ni teja tu.

Cijaona kosa alilofanya,alijaribu kutoa maoni yake hakukua na sababu ya kumuattack,alafu mateja hawapo normal akilizao smtmes nusu uchizi nusu mzima,Apo mkuu ulijiaribia siku na kupoteza mda sure.
 
Mkuu achana naye huyo.namfahamu ni mchele mchele ananichukia sababu nliwahi mchana mbele za watu.

Sikulaumu... Wewe hutakuwa na malezi mazuri.either uliachiwa laana au ndo hivyo tena mitaani walishakugeuza uwe hali hiyo na ndo maana unawakosea heshima wanawake.
 
Sikulaumu... Wewe hutakuwa na malezi mazuri.either uliachiwa laana au ndo hivyo tena mitaani walishakugeuza uwe hali hiyo na ndo maana unawakosea heshima wanawake.
Samahani mazaa sikumaanisha hata kuwa offend wenzio. Umechukulia too personal. Ila nakupongeza sana kwa kuwa na natural instinct, nahisi utakuwa mmoja wa pioneers wa ule mkutano wa Beijing.. 50/50 by 2020.
 
Wewe ndio mpuuzi wa kutupwa! Tulisema sana kuhusu utawala wa JK mkasifia then sasa hivi mnajifanya wajuaji! Umepata wapi haki ya kumjeruhi mwingine kisametofautiana mawazo!

Eti simu ikapigwa! So what? Kama wewe kidume why usubiri hadi simu ipigwe? Ushamba
Muda huu ndo natoka kituo cha polisi hapa ********. Nashuru Polisi wameelewa kirahisi sana hasa baada ya kupata call kuwa waniruhusu tu niondoke baada ya mimi kugoma kuwaonesha kitambulisho changu nikitaka Mkuu wa kituo ndo akione.

Nlikuwa nmepeleka gari kuosha sehemu flan kwa presha n.k pembeni yake pana bar nikawa nakunywa soup na grand malt.

Jamaa wakawa wana maongezi na wakapenda nichangie.tuliongea vizuri mpaka taahira mmoja teja msafi aliposema eti" bora ya utawala wa kikwete"

Huyu alinishtua sana nikaona atakuwa si mtanzania.na kama ni mtanzania basi ni mpumbavu sana.nlimwambia sijawahi ona mtu hana akili kama yeye duniani.

Nlimweleza akawa hana hoja anasema tu miaka ile hata biashara ya madawa ilikuwa inalipa.hapo ndio nikaamua kumcharaza vibao.nlimwona ni mpumbavu sana.nmemtandika vibao hasa.na kumgaragaza.yaani unakumbusha utawala wa kikwete bila aibu?

Ile serikali ya hovyo kupata kutokea dunian?serikali ya majizi wapiga deal.wauza madawa ya kulevya n.k? Nmemtandika sana mpaka kudondosha meno na akaenda polisi ambao nliwasubiri.

Wakaja tukaenda kituoni jamaa akaeleza mkasa wote.wakanouliza nikasema ni kweli kama alivyosema.tena nikawaambia nmemhurumia sana jamaa maana ni mhujumu uchumi asilimia 100.wakaomba ID yangu nilimwambia yule askari yeye hawezi shika ID yangu. Labda mkuu wake wa kituo.

Nikachukua simu nika dial namba.nikaijulisha tu nipo kituo cha polis xxxxx .baada ya dk 5 ikapigwa simu niruhusiwe kuondoka.nikaondoka nikachukua gari nlipoicha na kurudi home.

Kuna mitanzania ambayo imeshakuwa mindondocha au majini.hayana akili yanaongea upuuzi mpaka unatamani uyashoot tu yakawe mbole hata tupande michongoma au yaote magugu.

MTU ANAYEMSIFIA KIKWETE NA ULE UHUNI WA SERIKALI YAKE LAZIMA ATAKUWA TEJA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sikutaka kuongea sana.waliongea wengine kwa niaba yangu.maana nlikuwa nmeshaudhiwa na hawa wapuuzi wa awamu ya nne. Mi huwa siongei sana natandika mbata tu kwa wajinga wajinga. Wamwache Rais afanye kazi kufukia mashimo yaliyochimbwa na majizi awamu ya nne.

Wewe ndio mpuuzi wa kutupwa! Tulisema sana kuhusu utawala wa JK mkasifia then sasa hivi mnajifanya wajuaji! Umepata wapi haki ya kumjeruhi mwingine kisametofautiana mawazo!

Eti simu ikapigwa! So what? Kama wewe kidume why usubiri hadi simu ipigwe? Ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa za kijinga. Umefaidika nini sasa kupiga teja? Hata mpangilio wa sentensi zako haueleweki. Yote kwa yote ulitaka tutambue kuwa wewe ni wasiojulikana kama ID yako. Hongera sana mtu usiejulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda huu ndo natoka kituo cha polisi hapa ********. Nashuru Polisi wameelewa kirahisi sana hasa baada ya kupata call kuwa waniruhusu tu niondoke baada ya mimi kugoma kuwaonesha kitambulisho changu nikitaka Mkuu wa kituo ndo akione.

Nlikuwa nmepeleka gari kuosha sehemu flan kwa presha n.k pembeni yake pana bar nikawa nakunywa soup na grand malt.

Jamaa wakawa wana maongezi na wakapenda nichangie.tuliongea vizuri mpaka taahira mmoja teja msafi aliposema eti" bora ya utawala wa kikwete"

Huyu alinishtua sana nikaona atakuwa si mtanzania.na kama ni mtanzania basi ni mpumbavu sana.nlimwambia sijawahi ona mtu hana akili kama yeye duniani.

Nlimweleza akawa hana hoja anasema tu miaka ile hata biashara ya madawa ilikuwa inalipa.hapo ndio nikaamua kumcharaza vibao.nlimwona ni mpumbavu sana.nmemtandika vibao hasa.na kumgaragaza.yaani unakumbusha utawala wa kikwete bila aibu?

Ile serikali ya hovyo kupata kutokea dunian?serikali ya majizi wapiga deal.wauza madawa ya kulevya n.k? Nmemtandika sana mpaka kudondosha meno na akaenda polisi ambao nliwasubiri.

Wakaja tukaenda kituoni jamaa akaeleza mkasa wote.wakanouliza nikasema ni kweli kama alivyosema.tena nikawaambia nmemhurumia sana jamaa maana ni mhujumu uchumi asilimia 100.wakaomba ID yangu nilimwambia yule askari yeye hawezi shika ID yangu. Labda mkuu wake wa kituo.

Nikachukua simu nika dial namba.nikaijulisha tu nipo kituo cha polis xxxxx .baada ya dk 5 ikapigwa simu niruhusiwe kuondoka.nikaondoka nikachukua gari nlipoicha na kurudi home.

Kuna mitanzania ambayo imeshakuwa mindondocha au majini.hayana akili yanaongea upuuzi mpaka unatamani uyashoot tu yakawe mbole hata tupande michongoma au yaote magugu.

MTU ANAYEMSIFIA KIKWETE NA ULE UHUNI WA SERIKALI YAKE LAZIMA ATAKUWA TEJA.
HONHERA MKUU KWA KUGOMA.KULALA SAA TISA MCHANA
JELA AKUFAI MPWA
 
Ok,
Pamoja na hayo, bado madili na wizi wote wa enzi za JK (EPA, meremeta, escrow, richmond etc) aliishi kwenye 783 Bilioni... Huyu wa sasa, hakuna panaposemwa kuwa pana dili, wizi, tec lakini BILIONI 1,500 HAZIJULIKANI ZILIKO..!!! Za JK zimepotea ndani ya miaka yake yote 10, huyu zimepotea ndani ya miaka 2..!!!!

Jitafakari
 
Back
Top Bottom