Ndio natoka Polisi muda huu. Nashukuru Ujumbe umefika

Teja si kwa maana ya teja..ni mhuni tu ambaye alikuwa anauza madawa ya kulevya.

Sijawai kuona nijitu mipumbav kama wewe yaan wewe na teja, teja kakuzid ujanja.

Mimi sikomi kujiuliza kama tutaendelea kua na watu wadizein yako Hakika nchi hii bado ina safar ndefu. Jana tu Lugola katolewa kwa tuhuma hizohizo je nsye kasain kipind cha kikwete.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thats why bob marley shot you. Si kila mtu anaenda lupango kijana.uwe unaelewa kiwepesi tu haya mambo.sisi wengine ndo wazalendo tuliobaki wa taifa hili.

Kwa kitendo ulichofanya bila kujali we ni jwtz, ptz, jmt, sijui mnaita tiss. Ungekutana na watu wenye 1 timamu saa hizi ungekuwa lupango. Labda Kama story yako ni yakuunga ili tujue Kama we una uchungu Sana na serikali ya awamu hii kulikoni hata akina Ndugai na Paul. Kwa kuwa Kama ungekuwa umesoma angalau hata elimu ya uraia, naamini ungekuwa na hekimi. Sijajua umri wako inawezekana ukawa ni miongoni mwa vijana wa miaka ya 2000. Mi nakumbuka enzi zetu tulio somea vitabu Kama karudi baba safari ya mbali Mara sijui chopeko na mnofu, kibanga kampiga mkoloni hatukulelewa Katika maadili ya kidigital.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ,baba yako na mama yako mmeolewa na mwanaume mmoja hiyo inakuwa shida sana.... Jaribu kuwaza kama mtu huru ambaye familia yake nzima haijaolewa na mwanaume mmoja.ndo uzoefu ulio nao.

Ningekuona kidume kama hao askari nao baada ya kuulizia ID ungewapa kichapo kisha uondoke zako.

Umeonyesha umama wa kiwango cha SGR kupiga simu kwa mumeo ili akuombee kwa hawara wake ambae yupo kitengo ili uachiwe huru.

Umama ni shida sana.
 
wewe ,baba yako na mama yako mmeolewa na mwanaume mmoja hiyo inakuwa shida sana.... Jaribu kuwaza kama mtu huru ambaye familia yake nzima haijaolewa na mwanaume mmoja.ndo uzoefu ulio nao.
Sibishanagi na machizi mkuu. You are out of my league wanker.
 
Mi huwanawajibia wanaoshindwa kujibu kulingana na ujinga wa anayecomment. Wewe badala ya kushambulia hoja unadhalilisha wanawake. Yeye kama amedharau hajajibu mimi huwa najibu watu wanaopenda kuwa wapumbavu. Mnawadharau sana wanawake.

Sibishanagi na machizi mkuu. You are out of my league wanker.
 
Muda huu ndo natoka kituo cha polisi hapa ********. Nashuru Polisi wameelewa kirahisi sana hasa baada ya kupata call kuwa waniruhusu tu niondoke baada ya mimi kugoma kuwaonesha kitambulisho changu nikitaka Mkuu wa kituo ndo akione.

Nlikuwa nmepeleka gari kuosha sehemu flan kwa presha n.k pembeni yake pana bar nikawa nakunywa soup na grand malt.

Jamaa wakawa wana maongezi na wakapenda nichangie.tuliongea vizuri mpaka taahira mmoja teja msafi aliposema eti" bora ya utawala wa kikwete"

Huyu alinishtua sana nikaona atakuwa si mtanzania.na kama ni mtanzania basi ni mpumbavu sana.nlimwambia sijawahi ona mtu hana akili kama yeye duniani.

Nlimweleza akawa hana hoja anasema tu miaka ile hata biashara ya madawa ilikuwa inalipa.hapo ndio nikaamua kumcharaza vibao.nlimwona ni mpumbavu sana.nmemtandika vibao hasa.na kumgaragaza.yaani unakumbusha utawala wa kikwete bila aibu?

Ile serikali ya hovyo kupata kutokea dunian?serikali ya majizi wapiga deal.wauza madawa ya kulevya n.k? Nmemtandika sana mpaka kudondosha meno na akaenda polisi ambao nliwasubiri.

Wakaja tukaenda kituoni jamaa akaeleza mkasa wote.wakanouliza nikasema ni kweli kama alivyosema.tena nikawaambia nmemhurumia sana jamaa maana ni mhujumu uchumi asilimia 100.wakaomba ID yangu nilimwambia yule askari yeye hawezi shika ID yangu. Labda mkuu wake wa kituo.

Nikachukua simu nika dial namba.nikaijulisha tu nipo kituo cha polis xxxxx .baada ya dk 5 ikapigwa simu niruhusiwe kuondoka.nikaondoka nikachukua gari nlipoicha na kurudi home.

Kuna mitanzania ambayo imeshakuwa mindondocha au majini.hayana akili yanaongea upuuzi mpaka unatamani uyashoot tu yakawe mbole hata tupande michongoma au yaote magugu.
Wee jamaa, unamchapa mtu makofi kwa kuzungumza anachokiamini halafu unajisifia kuvunja sheria na kumuonea mtu! Hao polisi waoga, ningekuwa mimi ningekusweka ndani kwa shambulio. Yaani wewe kila anayetofautiana nawe utakuwa unamchapa magumi tu? Huko ni kujisifia ujinga, waungwana hatuko hivyo.

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo uliemchapa vibao in boya kama ulivyo wewe.. Ungekutana na Mimi muda huu upo taasisi ya mifupa MOI.
 
Wewe ningekulamba tu.....mpaka unaishiwa nguvu. Na afya yako ilivyo ndo kabisa hiyo mijicho inavyolegea unaitoa kama torch sijui ingekuaje

Huyo uliemchapa vibao in boya kama ulivyo wewe.. Ungekutana na Mimi muda huu upo taasisi ya mifupa MOI.
 
Kuna watu wapumbavu hao tunaruhusiwa kuwachapa vibao.mimi nakuchapa na hunipeleki popote.yaani nikienda polisi nakuacha unaongea nao naondoka.iwepo tu sababu ya msingi ya mimi kukuchapa vibao.

Wee jamaa, unamchapa mtu makofi kwa kuzungumza anachokiamini halafu unajisifia kuvunja sheria na kumuonea mtu! Hao polisi waoga, ningekuwa mimi ningekusweka ndani kwa shambulio. Yaani wewe kila anayetofautiana nawe utakuwa unamchapa magumi tu? Huko ni kujisifia ujinga, waungwana hatuko hivyo.

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hayo mattercall yako kama kolomije boy, ningeyachezea hadi ungelala mwenye manuuuuuu. Hata kibao cha kiganja change usingekipata, watu wengine hampaswi kupigwa.
Wewe ningekulamba tu.....mpaka unaishiwa nguvu. Na afya yako ilivyo ndo kabisa hiyo mijicho inavyolegea unaitoa kama torch sijui ingekuaje
kam
 
Mi huwanawajibia wanaoshindwa kujibu kulingana na ujinga wa anayecomment. Wewe badala ya kushambulia hoja unadhalilisha wanawake. Yeye kama amedharau hajajibu mimi huwa najibu watu wanaopenda kuwa wapumbavu. Mnawadharau sana wanawake.
Kwasababu wewe ni mama lazima utetee haki za wamama wenzako. Hiyo ni natural instinct.
 
Back
Top Bottom