Ndio natoka Polisi muda huu. Nashukuru Ujumbe umefika

Nilicho gundua kuna mpumbavu mmoja aliye shindwa kumpinga mwenzake kwa hoja kwa wakati huo huo anahitaji mwenzake aamini anacho amini yeye, sasa akaona ajimwambafayi kwa kumpiga na kujaribu kumuonyesha yeye ni mpumbavu aliye juu ya sheria kwamba anaweza akampiga mtu kwa kutofautiana hoja.
 
[emoji23][emoji23]mkuu nini ni Dr wa vichaa kwa taarifa yako wewe ndio kichaa basi tu upo mtaani
Muda huu ndo natoka kituo cha polisi hapa ********. Nashuru Polisi wameelewa kirahisi sana hasa baada ya kupata call kuwa waniruhusu tu niondoke baada ya mimi kugoma kuwaonesha kitambulisho changu nikitaka Mkuu wa kituo ndo akione.

Nlikuwa nmepeleka gari kuosha sehemu flan kwa presha n.k pembeni yake pana bar nikawa nakunywa soup na grand malt.

Jamaa wakawa wana maongezi na wakapenda nichangie.tuliongea vizuri mpaka taahira mmoja teja msafi aliposema eti" bora ya utawala wa kikwete"

Huyu alinishtua sana nikaona atakuwa si mtanzania.na kama ni mtanzania basi ni mpumbavu sana.nlimwambia sijawahi ona mtu hana akili kama yeye duniani.

Nlimweleza akawa hana hoja anasema tu miaka ile hata biashara ya madawa ilikuwa inalipa.hapo ndio nikaamua kumcharaza vibao.nlimwona ni mpumbavu sana.nmemtandika vibao hasa.na kumgaragaza.yaani unakumbusha utawala wa kikwete bila aibu?

Ile serikali ya hovyo kupata kutokea dunian?serikali ya majizi wapiga deal.wauza madawa ya kulevya n.k? Nmemtandika sana mpaka kudondosha meno na akaenda polisi ambao nliwasubiri.

Wakaja tukaenda kituoni jamaa akaeleza mkasa wote.wakanouliza nikasema ni kweli kama alivyosema.tena nikawaambia nmemhurumia sana jamaa maana ni mhujumu uchumi asilimia 100.wakaomba ID yangu nilimwambia yule askari yeye hawezi shika ID yangu. Labda mkuu wake wa kituo.

Nikachukua simu nika dial namba.nikaijulisha tu nipo kituo cha polis xxxxx .baada ya dk 5 ikapigwa simu niruhusiwe kuondoka.nikaondoka nikachukua gari nlipoicha na kurudi home.

Kuna mitanzania ambayo imeshakuwa mindondocha au majini.hayana akili yanaongea upuuzi mpaka unatamani uyashoot tu yakawe mbole hata tupande michongoma au yaote magugu.

MTU ANAYEMSIFIA KIKWETE NA ULE UHUNI WA SERIKALI YAKE LAZIMA ATAKUWA TEJA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Nyerere ✖
2 Mwinyi✔
3 Mkapa✖
4 Kikwete✔
5 Magufuli✖

Kama imekuuma sawa, upande wapili wakiiongoza nchi Raia tunaneemeka muno.
 
Mpuuzi sana wewe maana haujitambui na hautambui kuwa kila mtu ana haki ya kuamini kile anachopenda ili mradi havunji sheria ya inchi.
Au ni sheria gani ya nchi inatutaka kukubaliana na kila anachokifanya Magufuli?
Watu wenye akili lazima tuwe na mtizamo tofauti ila wajinga huamini kila kitu bila kupima athari na faida lazima tutofautiane.
Kwa hiyo wewe unashangiilia utawala huuu wa majizi wakulindana kwa Simu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda huu ndo natoka kituo cha polisi hapa ********. Nashuru Polisi wameelewa kirahisi sana hasa baada ya kupata call kuwa waniruhusu tu niondoke baada ya mimi kugoma kuwaonesha kitambulisho changu nikitaka Mkuu wa kituo ndo akione.

Nlikuwa nmepeleka gari kuosha sehemu flan kwa presha n.k pembeni yake pana bar nikawa nakunywa soup na grand malt.

Jamaa wakawa wana maongezi na wakapenda nichangie.tuliongea vizuri mpaka taahira mmoja teja msafi aliposema eti" bora ya utawala wa kikwete"

Huyu alinishtua sana nikaona atakuwa si mtanzania.na kama ni mtanzania basi ni mpumbavu sana.nlimwambia sijawahi ona mtu hana akili kama yeye duniani.

Nlimweleza akawa hana hoja anasema tu miaka ile hata biashara ya madawa ilikuwa inalipa.hapo ndio nikaamua kumcharaza vibao.nlimwona ni mpumbavu sana.nmemtandika vibao hasa.na kumgaragaza.yaani unakumbusha utawala wa kikwete bila aibu?

Ile serikali ya hovyo kupata kutokea dunian?serikali ya majizi wapiga deal.wauza madawa ya kulevya n.k? Nmemtandika sana mpaka kudondosha meno na akaenda polisi ambao nliwasubiri.

Wakaja tukaenda kituoni jamaa akaeleza mkasa wote.wakanouliza nikasema ni kweli kama alivyosema.tena nikawaambia nmemhurumia sana jamaa maana ni mhujumu uchumi asilimia 100.wakaomba ID yangu nilimwambia yule askari yeye hawezi shika ID yangu. Labda mkuu wake wa kituo.

Nikachukua simu nika dial namba.nikaijulisha tu nipo kituo cha polis xxxxx .baada ya dk 5 ikapigwa simu niruhusiwe kuondoka.nikaondoka nikachukua gari nlipoicha na kurudi home.

Kuna mitanzania ambayo imeshakuwa mindondocha au majini.hayana akili yanaongea upuuzi mpaka unatamani uyashoot tu yakawe mbole hata tupande michongoma au yaote magugu.

MTU ANAYEMSIFIA KIKWETE NA ULE UHUNI WA SERIKALI YAKE LAZIMA ATAKUWA TEJA.
Ndicho zenu hamu we z kupiinga Kwa hoja

Da tz bwana ningekua ndo mkuu wa kituo ningekusweka ndani wiki nzima au ningekua afande ambae umekataa kumpa kitambulisho chako unachokiona kimetoka mbinguni ningekulegeza magoti mpaka maji ya kunywa ungeita mma.niseme tz inaongozwa kwa mjibu wa sheria sasa we unamamlaka gani mpaka huyo kijana umemtoa meno alafu bado unajivunia iyo karatasi unayoiita kitambulisho na kuingilia kazi za watu yahani nasema ningekua mimi nakusweka ndani na bora kuachishwa kazi kuliko vumilia ujua kama huu wa kutofuata sheria
 
Bilashaka umejipa mamlaka ya MUNGU, kama sio MUNGU basi IZLAILI kuchukua roho za watu..

ISHI KATIKA DUNIA UKIAMINI KWAMBA HAKUNA ASIEKUA NA THAMANI

UNAYEMDHARAU LEO HUWEZIJUA KESHO ATAKUWA NANI !

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeandika vizuri yupo jamaa yangu askari magereza mwaka mmoja anatokea kazini alibanwa na tumbo akazidiwa ikabidi ajilaze pembeni ya barabara basi alipita kichaa muokota makopo kabisa alipo muona hakusema chochote alimueka begani kama mzigo mpaka geti ya hospitali moja mkoa wa Arusha akambwaga hapo nakuondoka zake na ndo ilikua pona ya jamaa yangu na leo yupo salama
 
Back
Top Bottom