Ndio natoka Polisi muda huu. Nashukuru Ujumbe umefika

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
489
Points
1,000

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
489 1,000
Muda huu ndo natoka kituo cha polisi hapa ********. Nashuru Polisi wameelewa kirahisi sana hasa baada ya kupata call kuwa waniruhusu tu niondoke baada ya mimi kugoma kuwaonesha kitambulisho changu nikitaka Mkuu wa kituo ndo akione.

Nlikuwa nmepeleka gari kuosha sehemu flan kwa presha n.k pembeni yake pana bar nikawa nakunywa soup na grand malt.

Jamaa wakawa wana maongezi na wakapenda nichangie.tuliongea vizuri mpaka taahira mmoja teja msafi aliposema eti" bora ya utawala wa kikwete"

Huyu alinishtua sana nikaona atakuwa si mtanzania.na kama ni mtanzania basi ni mpumbavu sana.nlimwambia sijawahi ona mtu hana akili kama yeye duniani.

Nlimweleza akawa hana hoja anasema tu miaka ile hata biashara ya madawa ilikuwa inalipa.hapo ndio nikaamua kumcharaza vibao.nlimwona ni mpumbavu sana.nmemtandika vibao hasa.na kumgaragaza.yaani unakumbusha utawala wa kikwete bila aibu?

Ile serikali ya hovyo kupata kutokea dunian?serikali ya majizi wapiga deal.wauza madawa ya kulevya n.k? Nmemtandika sana mpaka kudondosha meno na akaenda polisi ambao nliwasubiri.

Wakaja tukaenda kituoni jamaa akaeleza mkasa wote.wakanouliza nikasema ni kweli kama alivyosema.tena nikawaambia nmemhurumia sana jamaa maana ni mhujumu uchumi asilimia 100.wakaomba ID yangu nilimwambia yule askari yeye hawezi shika ID yangu. Labda mkuu wake wa kituo.

Nikachukua simu nika dial namba.nikaijulisha tu nipo kituo cha polis xxxxx .baada ya dk 5 ikapigwa simu niruhusiwe kuondoka.nikaondoka nikachukua gari nlipoicha na kurudi home.

Kuna mitanzania ambayo imeshakuwa mindondocha au majini.hayana akili yanaongea upuuzi mpaka unatamani uyashoot tu yakawe mbole hata tupande michongoma au yaote magugu.


MTU ANAYEMSIFIA KIKWETE NA ULE UHUNI WA SERIKALI YAKE LAZIMA ATAKUWA TEJA.
 

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
7,186
Points
2,000

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
7,186 2,000
Mpuuzi sana wewe maana haujitambui na hautambui kuwa kila mtu ana haki ya kuamini kile anachopenda ili mradi havunji sheria ya inchi.
Au ni sheria gani ya nchi inatutaka kukubaliana na kila anachokifanya Magufuli?
Watu wenye akili lazima tuwe na mtizamo tofauti ila wajinga huamini kila kitu bila kupima athari na faida lazima tutofautiane.
 

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
489
Points
1,000

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
489 1,000
Nlitamani nimfunge kamba kwenye gari halafu nimburuze daresalaam nzima mshenzi kabisa huyu hana akili zaidi ya kuwa na akili za kuvalia nguo tu.

Mjinga kabisa huyo, yaani anasema utawala wa kikwete ni Bora kuliko huu? Hata maaskari hapo kituoni wamekushangaa kwanini hukumsulubisha kabisa.
 

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
489
Points
1,000

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
489 1,000
Mtu anayeamini upumbavu hastahili hata kuishi.


Mpuuzi sana wewe maana haujitambui na hautambui kuwa kila mtu ana haki ya kuamini kile anachopenda ili mradi havunji sheria ya inchi.
Au ni sheria gani ya nchi inatutaka kukubaliana na kila anachokifanya Magufuli?
Watu wenye akili lazima tuwe na mtizamo tofauti ila wajinga huamini kila kitu bila kupima athari na faida lazima tutofautiane.
 

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
489
Points
1,000

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
489 1,000
Tusiruhusu mitizamo ya kipumbavu.itatukwamisha.tuiondoe kabisa hiyo

Unataka kila mtu aamini unachoamini wewe??? Hamna utawala unaoweza kuridhisha watu wote. Kila mtu na mtazamo wake ndugu.
Mie hamna utawala nitakuja kuuelewa kama wa mwalimu nyerere hata unichinje ila ni mtazamo wangu huo sitaki ukubaliane na mimi
 

Forum statistics

Threads 1,389,426
Members 527,925
Posts 34,025,013
Top