janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
ukweli gani, hakuna Chochote.....
Habari ndo hiyoo
ukweli gani, hakuna Chochote.....
mchetu una visa iwe...
hamna lolote, we unaendeleza ukabila tu, na ushindwe.......
Kweli....watu watabisha na kukashfu lakini ukweli ndo huo. Kuna raha yake kuwa na mtu wa kabila lako...hata ukienda ukweni full kujichanganya na unajihisi wewe ni part ya familia haswaa... Unakuwa more comfortable.kama utakuwa na kabila tofauti hata ukipendwa vipi unakuwa km stranger fulani hivi...
ngoja nikwambie sasa, kati ya makabila uliyoyataja hapo me ni mmoja wao....Unaonekana haupendi kabila lako ndo maana una hasira ungekuwa mchaga au mhaya au mnyakyusa usinge chukia hivyo
Hahaaa douta niliogopa kuingilia nikasema ngoja aje mwenyewe
besti nawe hujainelewa!???
Mi Muorombo
Sasa nitaanza kuwapiga tution ya kihaya akananas wangu Paloma na Passion Lady.