Ndio maana unashauriwa uoe kabila lako.

Ndio maana unashauriwa uoe kabila lako.

mama umenena vema ndomana me nampenda Mwanyasi wangu full kubonga kiluga wala hamchokani raha tupu, sio unaenda ukweni watu wanaongea mambo yao unaanza kuhisi unasemwa bure...i love my husband sanaa.....

Kweli aisee kuna vitu vidogo vidogo huwa tunajifanya hatujali lakini huwa vinatuathiri sana. Hebu chukulia kwenye familia ya mume hukubaliki kiviile af watu wanaongea kilugha full kucheka na kugonganisha mikono....najua kuna watu hapa watasema hawajali..... Mimi najali kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaaaaa mom ndomana nakumiss i like the way you coment some time napita naangalia nacheka mwenyewe love you my mom...

Hahaaa nna watu wangu nnaoweza kuwacomentia hivi....si unajua huyu shem wangu?
 
kwani makabila yakifanana ndo michepuko itakoma??? sikuhizi hadi lugha za maumbo na michoro zinatumika kutongozana... kabila sio issue ..... issue ni uwaminifu
 
Kweli aisee kuna vitu vidogo vidogo huwa tunajifanya hatujali lakini huwa vinatuathiri sana. Hebu chukulia kwenye familia ya mume hukubaliki kiviile af watu wanaongea kilugha full kucheka na kugonganisha mikono....najua kuna watu hapa watasema hawajali..... Mimi najali kwa kweli

habari ndo hiyo mam hata wabishe ukweli utabaki pale pale......
 
mama umenena vema ndomana me nampenda Mwanyasi wangu full kubonga kiluga wala hamchokani raha tupu, sio unaenda ukweni watu wanaongea mambo yao unaanza kuhisi unasemwa bure...i love my husband sanaa.....

Love u2 my wife, kumbe kweli unanipenda mamsapu wangu
 
Last edited by a moderator:
besti yaani hata kusoma hapo juu hujaona?

muanzisha thread hii amesema muoe kabila lako?
bado hujaelewa tu?

Mi mchagga...ila najua kisukuma kuliko kichagga!!!! Sasa mimi nimuoe nani!!!
 
hhehehehehehehheeeeeeeeeeeeeeeeeee namwambia
cousin pl kumbe wewe ni mshumbusi, sasa ulipokuja kwetu
ukasema wewe ni kabila letu na ukaanza kutuongeleshea kilugha
kumbe wewe ni muganyizi , rutakingira???? eheeeee
bora aolewe kwetu huku huku :A S wink:kwani wako wamejaa tele
Sasa nitaanza kuwapiga tution ya kihaya akananas wangu Paloma na Passion Lady.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom