Ndio maana siangalii mpira wa taifa stars

Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
10,317
4,303
Tunafungwa kwetu! tayari bao 2-1 yaani.wameniharibia siku kabisaaaa.
 
Kichwa cha mwendawazimu, vilaza nao wanajifunza kunyolea kwenye kichwa cha stars.
 
Si kiherehere changu nilipoona majina ya vijana wapyawapya nikadhani watafanya wonders, kumbe......

Pole sana Mkuu, mi hata nilikua sijui kama wanacheza leo. Nilishaacha kufuatilia info zao kitambo sana.
 
Back
Top Bottom